Antonio de Guzman
JF-Expert Member
- Jun 20, 2016
- 6,706
- 12,446
Kuna ugali pembeni ila ushaisha na kilichobaki ni kukomba mboga
Kuna nguna pembeni ila ishaishaUnakula peke akee au na ninii
Best ndio nini hata karibu.
Duuh! Best we balaa aisee.Kuna ugali pembeni ila ushaisha na kilichobaki ni kukomba mboga
unalishwa mavyakula ya ovyo sana baadae nguvu za kiume zikishuka utakuja na topic humu kula ugali mixer dagaa au pweza na mimboga ya majani pembeni juisi ya tende kesho yake uone mkeo ataamkaje kesho yake
HahahahaHivyo vya duara kama kondom ni nini?
ivi hayo majani mnatafunaga mabichi hivyo hivyo kama mbuzi.
Akikujibu uniiteivi hayo majani mnatafunaga mabichi hivyo hivyo kama mbuzi.
au ni ushamba wangu tu.
ngoja tumsubiri, Naoma anamalizia kulaAkikujibu uniite
Wee jamaa sijui umeoa mtanga
Maana unavotusumbua duuh,
Okey inshallah nasi tutaoa banah,
Japo safari hii hujaweka ktk meza ako ile pana
Haki nimeikubali hili
Karibuni
Hivyo vya duara kama kondom ni nini?
Hahaha, ndio mkuu. Zikiwa fresh and unboiled zinakuaga na nutrients za kutoshaivi hayo majani mnatafunaga mabichi hivyo hivyo kama mbuzi.
au ni ushamba wangu tu.
Ni nini hiko kwenye dafu??
Karibuni