donlucchese
JF-Expert Member
- Mar 23, 2011
- 17,047
- 21,522
Wee jamaa sijui umeoa mtanga
Ngoja Watanzania wa mikoani waingie kwenye huu uzi
Usirudie kumenya matango
Hahahaaa.Wee jamaa sijui umeoa mtanga
Maana unavotusumbua duuh,
Okey inshallah nasi tutaoa banah,
Japo safari hii hujaweka ktk meza ako ile pana
Vip sisterHahahaaa.
Nazi imekolea shatashata
Karibuni
Utashiba kweli?
Nimefurahi tu Kaka.Vip sister
Kutamanishana tu
Karibuni
Wewe si unaringa, mwenzio pembeni yangu hapo humuoni? yule anaefanana na avatar yako!Naomba
Huyu jamaa mara ya pili anatutamanisha kisa ndo kaoa.Nimefurahi tu Kaka.
ndio anayekunywa coca Rrondo weweWewe si unaringa, mwenzio pembeni yangu hapo humuoni? yule anaefanana na avatar yako!
Kutamanishana tu
Yeye anakunywa FANTA mimi COCA.....yeye ana rangi ya FANTA mimi COCA.ndio anayekunywa coca Rrondo wewe