BIN NUN
JF-Expert Member
- May 23, 2014
- 3,234
- 6,376
Nawew umepika kama hiko eeh,
Nawew umepika kama hiko eeh,
Mmh casinoNjoo ule km huwa unaingia sehem za kucheza kamari
Hivyo vya duara kama kondom ni nini?
Ana rangi ya fanta kama shunie anapenda fanta kama shunie au upo na shunieYeye anakunywa FANTA mimi COCA.....yeye ana rangi ya FANTA mimi COCA.
Hapana mkuu jaman nimepika ugali na mlendaNawew umepika kama hiko eeh,
Natamani kuwa na ShunieAna rangi ya fanta kama shunie anapenda fanta kama shunie au upo na shunie
Aisee!Hivyo vya duara kama kondom ni nini?
Hivyo vya duara kama kondom ni nini?
Kama huo siji chungulia kwa dadangu emmyta kuna nn nijeHapana mkuu jaman nimepika ugali na mlenda
Rrondo unanifurahisha sana aisee acha tufurahi maisha yenyewe mafupi haya tunaishi mara mojaNatamani kuwa na Shunie
Mmh casino
Mlenda nimeumisHapana mkuu jaman nimepika ugali na mlenda
Emmyta kwa ninavyomjua atakua kapika ugali na dagaaKama huo siji chungulia kwa dadangu emmyta kuna nn nije
My pleasure........Rrondo unanifurahisha sana aisee acha tufurahi maisha yenyewe mafupi haya tunaishi mara moja
Siyo wa mikoani, sema vijijini maana huko mikoani kuna miji na majiji yenye vitu hata zaidi ya hivi.Ngoja Watanzania wa mikoani waingie kwenye huu uzi
Hahahaa. Ila nimecheka sana Kaka.Huyu jamaa mara ya pili anatutamanisha kisa ndo kaoa.
Mpe taarifa ake nasi tutakuja mtamanisha vilevile aaah
Mkuu kwenye avatar huyo 'mhanga' ni Director au Actor?Mlenda nimeumis
Sijawahi ingia casino aisee na nina best friend wangu huwa anafanya kazi casinoNdio njoo le grand casino hapa habour view...hii ni ofisi yangu no 3 katika utafutaji pesa
Njo ukuleMlenda nimeumis