Muda ni kitu gani?

Muda ni kitu gani?

Aisle so mda ni kitu cha kutunga tu
Watu fulani walikaa wakapanga tu kua saiv ni saa 1 saa 2 👍
Kama ilivyo Dini na Siasa tu.
Uzuri ni kwamba hii sanaa ya Muda imekua na faida kubwa kwa Wanadamu wote bila kujali matabaka.
Ndio sanaa Bora zaid ya mwanadamu, its practical and evidence based.
 
Thread nzuri sana, inafikirisha kwa namna yake, ina nadharia zake ila it's real!

Kuna kitu cha kubeba hapa kuhusu muda! Je, huwa tunaishi kulingana na muda au muda unaaenda sisi tunavyotaka?
"Muda ni maisha", maisha yakikata, muda is useless, je, muda ukikata..what happens to life?
 
Muda ni illusion tu,hauna maana yoyote ya kimantiki.Tunaweza tukaamua leo isomeke mwaka 2070 au 1200 na hakuna chochote
Ni kama ambavyo tuna fanya naming ya vitu na watu-maana ipo kwa aliye tengeneza hilo jina na kuamua kupachika kwa mtu au kitu.
 
Ooh sanaa isio na upendeleo ✔
Thank you 😊
 
Thread nzuri sana, inafikirisha kwa namna yake, ina nadharia zake ila it's real!
Babu mjukuu wako nipo vizuri kicwani ukiachana na zile mada zangu zingine🤪
Kuna kitu cha kubeba hapa kuhusu muda! Je, huwa tunaishi kulingana na muda au muda unaaenda sisi tunavyotaka?
🤔🤔
"Muda ni maisha", maisha yakikata, muda is useless, je, muda ukikata..what happens to life?
Subiri kwanza nitarudi acha nifikilie hili swali fupi ila jibu lake linataka utulivu

Karibu babu England 1 wengine 0 😀😀
 
Muda ni illusion tu,hauna maana yoyote ya kimantiki.Tunaweza tukaamua leo isomeke mwaka 2070 au 1200 na hakuna chochote
Ni kama ambavyo tuna fanya naming ya vitu na watu-maana ipo kwa aliye tengeneza hilo jina na kuamua kupachika kwa mtu au kitu.
Nazidi kujifunza na kutofautisha vitu thank you 😊
 
Kama unaona kunitumia hapahapa iko poa, sio mbaya basi
Nikikupa no yangu ni kama nimekupa mimi sijui unaelewa?

No yangu ni utambulisho wangu
No yangu ni mimi mwenyewe

So kuniambia tu ShesRise nitumie au nipe no yako kwako ni rahisi kusema hivyo ila kwangu sio rahisi

Mpka nikupe number yangu inabidi unipe sababu kwanini nikupe
Kwanini nikupe utambulisho wangu?
 
Duh basi sawa
 
kati ya vitu nimetumia muda mwingi kuvisoma ni muda wenyewe, hapa nimeanzia zama za mawe hadi digital age, mifumo yote ya kalenda nimepitia mpaka zile siku 11 zilizopotea zilizoleta kizaazaaa, mifumo yote ya saa na technologies zote za saa mpaka cesium-133 atom na atomic clock,

International Meridian Conference in Washington na zero longitude kupita Greenwich bila time haya yote yasinge kuwepo, kitendo cha ku link time na positioning systems hapa ndo nikaanza kuamini time and space are two side of the coin na huwezi kivitofautisha, hapa ndo hayo mambo ya kupoteza muda, hakunipa muda, yote ni kuchanganya space na time ambayo ni kitu kimoja space-time

sikuishia hapo, nikaenda traditional astronomy mpaka precisely observation maana bila muda kosingetokea kitu, Kepler's planetary motions mpaka principia mathematica, nikaachana na classical physics mpaka quantum physics, relativity and time travel, hakuna kitu kimenipotezea muda kama theoretical physics hapa nili base kwenye haya mambo ya muda.

Hili suala la muda ni mada ndefu sana na ni very interesting, sekunde moja ni kubwa sana ukitaka kujua ukubwa wa sekunde fanya software development halafu function zako ziwe zina excute for 2 seconds wakati inatakiwa less than 20ms

Watu wengi hawajui hata kwanini siku ina masaa 24 wakati tunaweza tukaamua tu siku nzima iwe ni saa moja? hawajui kwanini masaa 24 ndo optimum choice. wazee kwenye muda hapa kuna madesa mengi kuliko vitu vyote ulivyosoma shule.

Mimi nikiwa na muda basi nadili na huohuo muda maana kunamambo mengi bado nataka kuyajua kuhusu muda
 
The perception of time is in itself an illusion.

To fully know time ni mpka uvuke hii dimension ya space_time reality. Wengi husema 4th dimension ila Mm naona hiyo nayo haipo. So ni mpaka ufe tuu, au ufanye transcendental meditation.
 
Back
Top Bottom