Muda ni kitu gani?

Muda ni kitu gani?

Hiyo pesa ulokuwa unapewa ulinunua nini mtu wetu. Mtakufa na mapenzi nyie
Nilinunua kila nilichotaka kwa mda ule😅 ila haikunitosha nikimtaka na huyo anaetoa hela

Mapenzi hayatuui ila cha moto tutakiona hasa sisi wenye moyo safi
 
Je hukuwahi tena kupata mda wake hadi leo hii?
Natamani kukujibu ila acha ibaki kua privacy yangu

Lakini nilijifunza ni nini maana ya muda kwa upande mwingine ambao sikufikiri kabisa before
 
Hua unachelewa kulala sana,vipi JF diary yako ulisha imaliza?
Wewe hukuelewa maana ya diary sio kwamba nitaleta mambo yangu binafs humu ila nimetengeza ile ili niweke nyuzi zangu zote kwenye uzi mmoja ndio maana nikaita JF Diary

Mara nyingi napenda kusoma nyuzi zangu mwenyewe so napata taabu kuanza kupekua moja moja lakini zikiwa sehemu moja inakua rahisi kwangu

Hope umeelewa

Nachelewa kulala kwa sababu usiku hua napata utulivu wa kufikiri kuamua kuchambua mambo kujiongelesha kujikosoa kujishauri kujisifia kujitafakari kuliko mchana ulio na kelele nyingi
 
Got ya
 
hahaha , that's tough on you bro, love is love even if it is one sided, sometimes you have to love even if they don't love you back , we call creative.
Wewe unaweza kufanya hivyo?
 
Muda ni njia ya mabeberu kuwaondolea watu furaha.

Kwa kuwa tuna muda, maana yake tuna vipimo vya nyakati za kila kitu mpaka na uhai wetu maana yake kila kitu lazima kiende kwa muda. Lazima ufanye vitu fulani kwa nyakati fulani au upambane ili vitu hivyo vitokee kabla ya nyakati hizo.

Maisha ya mwanadamu baada ya kupimwa kwa muda yamekua ya taabu sana. mahangaiko na hofu. Binadamu aliyeishi bila kujali muda, alikua ni mwenye furaha sana, asiye na hofu wala malengo mahususi yapimwayo na muda.

Ukiondoa dhana ya muda, raia wangekua na maisha bora sana
Hii inajumuisha na ukweli kwamba, peponi au mbinguni ni timeless au eternal. Watu wa huko wanafuraha zaidi kwakuwa hawakimbizani na muda.

Tuko mwaka 1448
Leo ndiyo mwaka wetu mpya
Kobazi kila kitu mnalaumu beberu, kwanini lakini 🤔
 
Maybe I'm not built for that. The entire notion of loving
Trust me, bro People who match your vibe do exist don't let your own mind convince you otherwise they're out there you just haven't met them yet keep believing in yourself.

And you deserve all good you dreaming about ✨
 
Back
Top Bottom