Muda ni kitu gani?

Muda ni kitu gani?

Sahihi mkuu ndio maana kuna watu husema isingekua marafiki wabaya ningekua mbali sana
Ni kama alizuzuka kutoona mda uliopo mbele yake kwa sababu ya marafiki

Sawa šŸ™šŸ™
Yeah, ndiyo maana unapaswa kuwa makini na aina ya mtu utakaye mruhusu awe na mamlaka juu ya muda wako katika uwanja wako wa maisha.
 
Muda ni nini hasa?šŸ¤”

Kwa wengi wetu, muda ni kipimo kinachotuonyesha sasa ni saa ngapi, ni asubuhi, mchana au usiku

Tunautambua kwa kuangalia saa, simu au hata mwendo wa jua

Lakini je, muda ni saa tu?
Mara nyingi tunasikia maneno kama

Tumia muda wako vizuri

Usichezee muda wako

Muda ni mali

Muda ukipita haurudi tena

Muda utasema

Hapo ndipo ninapojiuliza, muda ni nini hasa?

Je, ni sekunde, dakika na saa zinazopita?

Au ni nafasi tunayopewa kuishi, kupenda, kujifunza na kutimiza ndoto zetu?

Umewahi kunyimwa muda na mtu uliyekuwa unamhitaji?

Mimi niliwahi kumpenda mtu
Na nilivyo nikipenda mtu hua ni huyo huyo siwezani na stress za wapenzi wengi so hua nategemea vingi kutoka kwake kwa sababu nakua sina sehemu nyingine ya kuvipata

Kila nilipomuonesha nime m miss ghafla nilipokea SmS
Imethibitishwa umepokea kiasi fulani kutoka kwa fulani
Kisha ananiambia S, kanunue wine unywe

Kitu ambacho si kibaya ila sikua naitaji pesa yake tu nilimtaka yeye pia
Sasa sielewi labda nilikua nazidisha sana kumuitaji mpaka akachoka au lašŸ¤”

Nilifurahi kwa sababu alikuwa ananijali kwa namna yake

Lakini ukweli ni kwamba sikuwa nahitaji pesa pekee
Nilikuwa mpweke.

Nilitamani anipe muda wake

Kila nikisema Babe, I miss you
Badala ya mazungumzo marefu au muda wa kuwa pamoja, nilipokea tena pesa

Sio kwamba sikuthamini pesa (hapana)
Lakini wakati mwingine mtu hahitaji zawadi, anahitaji uwepo wako Anahitaji muda wako
Anahitaji kusikilizwa

Ndipo nikagundua kuwa kuna vitu ambavyo pesa haviwezi kununua, na kimojawapo ni muda wa mtu

Na si katika mapenzi tu

Kuna watu hunyimwa muda wa kujieleza

Kuna watu hunyimwa muda wa kuonyesha vipaji vyao

Kuna watu hunyimwa muda wa kusikilizwa

Kuna watu hunyimwa hata muda wa kuponya majeraha yao

Kuna watu hupoteza fursa mbali mbali kwa sababu walinyimwa mda

Basi, muda ni nini?
Unaelewa nini ukisikia neno mda?

Kwangu, muda ni maisha yenyewe
Kwa sababu kila kitu kinahitaji muda

kupenda, kusamehe, kukua, kupona, kufanikiwa na hata kuondoka

Na ndiyo maana tunasema
Muda ni mali, lakini zaidi ya mali, muda ni maisha

Ukimpa mtu muda wako, umempa sehemu ya maisha yako ambayo haitarudi tena ā¤ļøā³

ShesRise_1 šŸ–
Mimi sijui muda ni nini ila nasemaje.
If time is money, lets spend it together.
 
Muda ni njia ya mabeberu kuwaondolea watu furaha.

Kwa kuwa tuna muda, maana yake tuna vipimo vya nyakati za kila kitu mpaka na uhai wetu maana yake kila kitu lazima kiende kwa muda. Lazima ufanye vitu fulani kwa nyakati fulani au upambane ili vitu hivyo vitokee kabla ya nyakati hizo.
Inamaana bila muda tungekua tunafanya vitu bila mwelekeo wala nidhamu si ndio ?
maana moja ya kazi ya muda ni kufanya vitu kwa nidhamu

Muda ni njia ya mabeberu kutuondolea furaha ki vp kwani na wao si wanautumia.
Maisha ya mwanadamu baada ya kupimwa kwa muda yamekua ya taabu sana. mahangaiko na hofu. Binadamu aliyeishi bila kujali muda, alikua ni mwenye furaha sana, asiye na hofu wala malengo mahususi yapimwayo na muda.
šŸ¤”šŸ¤”šŸ¤” mambo ya kuhofia keshošŸ™Œ
Ukiondoa dhana ya muda, raia wangekua na maisha bora sana
Hii inajumuisha na ukweli kwamba, peponi au mbinguni ni timeless au eternal. Watu wa huko wanafuraha zaidi kwakuwa hawakimbizani na muda.

Tuko mwaka 1448
Leo ndiyo mwaka wetu mpya
Tuko 1448 na sio 2026
Hii ni calender ipi mkuu?

Natanguliza shukran
 
Muda ni nini hasa?šŸ¤”

Kwa wengi wetu, muda ni kipimo kinachotuonyesha sasa ni saa ngapi, ni asubuhi, mchana au usiku

Tunautambua kwa kuangalia saa, simu au hata mwendo wa jua

Lakini je, muda ni saa tu?
Mara nyingi tunasikia maneno kama

Tumia muda wako vizuri

Usichezee muda wako

Muda ni mali

Muda ukipita haurudi tena

Muda utasema

Hapo ndipo ninapojiuliza, muda ni nini hasa?

Je, ni sekunde, dakika na saa zinazopita?

Au ni nafasi tunayopewa kuishi, kupenda, kujifunza na kutimiza ndoto zetu?

Umewahi kunyimwa muda na mtu uliyekuwa unamhitaji?

Mimi niliwahi kumpenda mtu
Na nilivyo nikipenda mtu hua ni huyo huyo siwezani na stress za wapenzi wengi so hua nategemea vingi kutoka kwake kwa sababu nakua sina sehemu nyingine ya kuvipata

Kila nilipomuonesha nime m miss ghafla nilipokea SmS
Imethibitishwa umepokea kiasi fulani kutoka kwa fulani
Kisha ananiambia S, kanunue wine unywe

Kitu ambacho si kibaya ila sikua naitaji pesa yake tu nilimtaka yeye pia
Sasa sielewi labda nilikua nazidisha sana kumuitaji mpaka akachoka au lašŸ¤”

Nilifurahi kwa sababu alikuwa ananijali kwa namna yake

Lakini ukweli ni kwamba sikuwa nahitaji pesa pekee
Nilikuwa mpweke.

Nilitamani anipe muda wake

Kila nikisema Babe, I miss you
Badala ya mazungumzo marefu au muda wa kuwa pamoja, nilipokea tena pesa

Sio kwamba sikuthamini pesa (hapana)
Lakini wakati mwingine mtu hahitaji zawadi, anahitaji uwepo wako Anahitaji muda wako
Anahitaji kusikilizwa

Ndipo nikagundua kuwa kuna vitu ambavyo pesa haviwezi kununua, na kimojawapo ni muda wa mtu

Na si katika mapenzi tu

Kuna watu hunyimwa muda wa kujieleza

Kuna watu hunyimwa muda wa kuonyesha vipaji vyao

Kuna watu hunyimwa muda wa kusikilizwa

Kuna watu hunyimwa hata muda wa kuponya majeraha yao

Kuna watu hupoteza fursa mbali mbali kwa sababu walinyimwa mda

Basi, muda ni nini?
Unaelewa nini ukisikia neno mda?

Kwangu, muda ni maisha yenyewe
Kwa sababu kila kitu kinahitaji muda

kupenda, kusamehe, kukua, kupona, kufanikiwa na hata kuondoka

Na ndiyo maana tunasema
Muda ni mali, lakini zaidi ya mali, muda ni maisha

Ukimpa mtu muda wako, umempa sehemu ya maisha yako ambayo haitarudi tena ā¤ļøā³

ShesRise_1 šŸ–
Wow hapa nimepatia code Muhimu sana.

Muda ni maisha!! So tukifa mda nao huishia(kwetu)... So sisi ni muda?

Kuhusu kunyimwa mda na umpendae? Acha yapite tu.

Ila ukweli ni kuwa mwili na akili lazima zigusane na muda ili zi exist. So hakuna ujanja ni Maumivu tuu
 
Muda ni nini hasa?šŸ¤”

Kwa wengi wetu, muda ni kipimo kinachotuonyesha sasa ni saa ngapi, ni asubuhi, mchana au usiku

Tunautambua kwa kuangalia saa, simu au hata mwendo wa jua

Lakini je, muda ni saa tu?
Mara nyingi tunasikia maneno kama

Tumia muda wako vizuri

Usichezee muda wako

Muda ni mali

Muda ukipita haurudi tena

Muda utasema

Hapo ndipo ninapojiuliza, muda ni nini hasa?

Je, ni sekunde, dakika na saa zinazopita?

Au ni nafasi tunayopewa kuishi, kupenda, kujifunza na kutimiza ndoto zetu?

Umewahi kunyimwa muda na mtu uliyekuwa unamhitaji?

Mimi niliwahi kumpenda mtu
Na nilivyo nikipenda mtu hua ni huyo huyo siwezani na stress za wapenzi wengi so hua nategemea vingi kutoka kwake kwa sababu nakua sina sehemu nyingine ya kuvipata

Kila nilipomuonesha nime m miss ghafla nilipokea SmS
Imethibitishwa umepokea kiasi fulani kutoka kwa fulani
Kisha ananiambia S, kanunue wine unywe

Kitu ambacho si kibaya ila sikua naitaji pesa yake tu nilimtaka yeye pia
Sasa sielewi labda nilikua nazidisha sana kumuitaji mpaka akachoka au lašŸ¤”

Nilifurahi kwa sababu alikuwa ananijali kwa namna yake

Lakini ukweli ni kwamba sikuwa nahitaji pesa pekee
Nilikuwa mpweke.

Nilitamani anipe muda wake

Kila nikisema Babe, I miss you
Badala ya mazungumzo marefu au muda wa kuwa pamoja, nilipokea tena pesa

Sio kwamba sikuthamini pesa (hapana)
Lakini wakati mwingine mtu hahitaji zawadi, anahitaji uwepo wako Anahitaji muda wako
Anahitaji kusikilizwa

Ndipo nikagundua kuwa kuna vitu ambavyo pesa haviwezi kununua, na kimojawapo ni muda wa mtu

Na si katika mapenzi tu

Kuna watu hunyimwa muda wa kujieleza

Kuna watu hunyimwa muda wa kuonyesha vipaji vyao

Kuna watu hunyimwa muda wa kusikilizwa

Kuna watu hunyimwa hata muda wa kuponya majeraha yao

Kuna watu hupoteza fursa mbali mbali kwa sababu walinyimwa mda

Basi, muda ni nini?
Unaelewa nini ukisikia neno mda?

Kwangu, muda ni maisha yenyewe
Kwa sababu kila kitu kinahitaji muda

kupenda, kusamehe, kukua, kupona, kufanikiwa na hata kuondoka

Na ndiyo maana tunasema
Muda ni mali, lakini zaidi ya mali, muda ni maisha

Ukimpa mtu muda wako, umempa sehemu ya maisha yako ambayo haitarudi tena ā¤ļøā³

ShesRise_1 šŸ–
 
Inaamana bila mda tungekua tunafanya vitu bila mwelekeo wala nidhamu si ndio ?
maana moja ya kazi ya mda ni kufanya vitu kwa nidhamu

Mda ni njia ya mabeberu kutuondolea furaha ki vp kwani na wao si wanautumia.

šŸ¤”šŸ¤”šŸ¤” mambo ya kuhofia keshošŸ™Œ

Tuko 1448 na sio 2026
Hii ni calender ipi mkuu?

Natanguliza shukran
Tatizo sio muda, tatizo ni sisi.
Au tuseme hakuna tatizo lolote
 
Muda ni njia ya mabeberu kuwaondolea watu furaha.

Kwa kuwa tuna muda, maana yake tuna vipimo vya nyakati za kila kitu mpaka na uhai wetu maana yake kila kitu lazima kiende kwa muda. Lazima ufanye vitu fulani kwa nyakati fulani au upambane ili vitu hivyo vitokee kabla ya nyakati hizo.

Maisha ya mwanadamu baada ya kupimwa kwa muda yamekua ya taabu sana. mahangaiko na hofu. Binadamu aliyeishi bila kujali muda, alikua ni mwenye furaha sana, asiye na hofu wala malengo mahususi yapimwayo na muda.

Ukiondoa dhana ya muda, raia wangekua na maisha bora sana
Hii inajumuisha na ukweli kwamba, peponi au mbinguni ni timeless au eternal. Watu wa huko wanafuraha zaidi kwakuwa hawakimbizani na muda.

Tuko mwaka 1448
Leo ndiyo mwaka wetu mpya

Mkuu unavyosema ukiondoa dhana ya muda? Kuondoa kwenye we tu Tyr Umeshaingia ndani ya muda
 
Binadamu ni Maada
Ana ujazo na uzito
Kwenye uzito, anaendeshwa na kanuni za tatu za newtons
Mojawapo ni kanuni ya pili ya Mchapuko inategemeana na nguvu ya mvuto(Gravity)
F= ma
Kwenye ujazo, anaendeshwa na kanuni ya Uhusianifu Maalum(Special Relativity)
s² = c² t² - x² - y² - z²

Kwa kutumia hizi nadharia mbili, anaingia kwenye Nafasi-Wakati (SpaceTime)
Endapo binadamu ataweza kwenda mbio zaidi, Muda huenda polepole.
Kwa hiyo kama maisha yako utakuwa mzembe mzembe huchachariki na kukimbizana na maisha , maana yake kwako muda utaenda haraka na utajikuta umeezeka haraka kuliko wachakarikaji ambao muda wote wako mbio mbio na maisha wameyapatia.
Tafuta hela kijana anza sasa kukimbia
 
I need to re-watch the flash[movie]
Kuna namna hii theory iko poa sana
 
Na ndiyo maana tunasema
Muda ni mali, lakini zaidi ya mali, muda ni maisha
Nimependa hitimisho lako la muda ni maisha.
Naam zimekuwepo dhana nyingi kuhusu muda, dhana za kiimani kisayansi na hata kimaumbile.
Unaweza kutafsiri na kujenga hoja kuhusu muda kupitia engo uliyo egemea.

Mjadala uliopo hapa ni kuhusu muda lakini pia hamna utengano kati ya muda na wakati, kwa hio wakati hutangulia kisha muda, na zote hizo zilianzia pale ulimwengu ulipo anza kwa ile dhana ya bing bang.

Baada ya hio bing bang ndio kulizaliwa wakati , nafasi na umbali.

So kwenye wakati ndipo kuna muda.
 
Back
Top Bottom