Binadamu ni Maada
Ana ujazo na uzito
Kwenye uzito, anaendeshwa na kanuni za tatu za newtons
Mojawapo ni kanuni ya pili ya Mchapuko inategemeana na nguvu ya mvuto(Gravity)
F= ma
Kwenye ujazo, anaendeshwa na kanuni ya Uhusianifu Maalum(Special Relativity)
s² = c² t² - x² - y² - z²
Kwa kutumia hizi nadharia mbili, anaingia kwenye Nafasi-Wakati (SpaceTime)
Endapo binadamu ataweza kwenda mbio zaidi, Muda huenda polepole.
Kwa hiyo kama maisha yako utakuwa mzembe mzembe huchachariki na kukimbizana na maisha , maana yake kwako muda utaenda haraka na utajikuta umeezeka haraka kuliko wachakarikaji ambao muda wote wako mbio mbio na maisha wameyapatia.
Tafuta hela kijana anza sasa kukimbia