Robert Heriel Mtibeli
Platinum Member
- Mar 24, 2018
- 40,148
- 93,056
Hamjambo wote!
Moja ya mambo ambayo sisi Watibeli hatunaga nayo mzaha ni muda wetu na watu tunaowapenda.
Tukishakupenda utatuona kwenye matumizi ya muda wetu kwako.
Mke na mumeo hakikisha muda mwingi kadiri iwezekanavyo mnatumia muda pamoja.
Watoto wako. Aiseeh! Huwaga nashangaa wazazi wasio na muda na watoto waliowazaa.
Unakuta anamuda na mashoga zake. Kazi kupiga umbeya.
Huko saluni na vijiweni kushinda. Lakini huwapi watoto muda wako.
Unakuta mwanaume kazi kupiga umbeya na soga vijiweni na kushinda Bar au kwenye mipira. Kukaa na watoto halikai.
Aiseeh! Sisi Watibeli, familia ndio jambo la pili kulipa Muda wetu baada ya kazi na usingizi.
Watoto wetu ndio marafiki zetu. Ndio washikaji zetu. Kama kuna utani au stori tutapiga na watoto wetu. Kama kuna michezo tutacheza na watoto wetu.
Wazazi wako, wape muda wako. Kisaikolojia wazazi wakifika umri fulani wanahitaji kampani. Wengi ni wapweke. Jitahidi uende kuwatembelea wazazi wako au wao waje kukutembelea.
Mipaka iwepo pia. Sio mzazi kuja kwenye nyumba na kuanza kuleta fujo.
Usitoe muda kwa mtu yeyote zaidi ya unavyotoa kwa rafiki yako.
Nimemaliza.
TaikonMaster
Kwa sasa Dar es salaam