Muda Hip Hop: Michano pamoja na vina

tuna misitu, wanyama tele kwa tele/
watanzania halisi kwanza piga kelele/
misele kila kanda, vivutio tele.. tanzania inapendezea, yani bongo mbele kwa mbele /
hakuna haja ya kwenda U. S, mana bongo inanibamba/
rock city mwanza, mjanja tafta kiwanja/
serengeti, ngorongoro zote zinatupa mikwanja/
aaah! mbuga mikumi naiota kwa kitanda/
ukitaka kupanda mt. kilimanjaro funga mkanda/
bahari ya hindi, upepo pata mawimbi/
nitabaki hapa bongo nchi nyengine SITIMBI/

Arusha ndo kituo /
Utalii kwa mkupuo /

Mawio mpaka machweo/
weupe Huvutiwa na vivutio /

Tuna madini almasi na dhahabu/
Tunao mbuni tausi pia Nyumbu/

ajabu Utalii wa ndani bubu /
Sio Kaboom wala Munkari wanaenda kuona Nyumbu /

Watanzania Tuamke /
Kulinda uasili waume kwa wake/

Asili yetu tuweusi /
Anaeiasi wote tumtusi /

Ona kuna wambulu na waluguru/
Wanyaturu wote tumemulikwa na nuru /

Tu wamoja wote/
Dumisheni asili tz hapafanani na popote /
 
Last edited by a moderator:
dabo unachonga ngenga nazidi kukupiga chenga nachojenga hutajenga
we ni bitch wa leganga

mistari yako ina njaa
Chokoraa
nakushangaa unataka kukaa nilipo kaa

Boya boya wakiboya maharage kama soya ntakusaka kila kaya nikuchome kama faya

Unajifanya una mbishe
na swaga za ali nipishe
hapa utalamba dushe
bisha niizamishe
dabo we ni choko
na uwape habari dada zako,
kwamba jf kuna nyoko
amekupa viboko
na ukizidi leta zako
Kesho anakumega tako

hahaa nacheka sana
Kwa maana vijana wa jana
wanataka shindana nami

Jibwa koko magnifico
uliko siko
siri zako nazijua

nikikuchana ntaakuumbua utalia na kwenu watazimia

mistari yako yakukariri
wew ni bad girl riri

Wape salamu porini unapokaa unataka kuja mjini na boxer zimechakaa mvua dagaa
Huwezi battle nami kwenu watakukataa

mi dume la ng'ombe,
so lazima nikupande,

mistari unalegeza,
iko half kaka kipande,

mi ni satelite,
huwezi kua star bila mimi,

japo nipo town,
ila stil nabonga kingoni,

kipande jipange upya,
round 2 ntakutupa,

coz mzuka ushapnpanda,
bila hata ya kuvuta,

nasm0ke alot ov weed,
en i got alot feelings,

dogo k mi nachana,
tangu enzi mkwawa,

ndo mana najaza nyomi,
kama kampen za ukawa,

unatoku toku sana,
ila stil hauongei,

mrembo zako taarabu,
kwa hip hop utadie,

akili zako hazina zimebanjuka,
ka pushap za matanuri,

hii so toto part,
eti kwa soda uenjoy,

hii ni shoo ya kikubwa,
usishangae nikikesha,

ni kweli sina leseni,
ila gari bovu nakuendesha,

#yeah
 
Last edited by a moderator:
Goddamn. I wish niskie hizi...flow ila kama zinapoteza uhai hivi...mkiziandika.

Oi Kaboom mimi kura yangu inaenda kwa dabo
 
Last edited by a moderator:
toka bara, visiwani tanzania inapendeza/
tanzania namba one.. duniani twapoteZA/
milima, mito, maziwa kila kona... vivutio vya asili tanzania yetu noma/
lake tanganyika.. hasara usipofika, wegeni njooni bongo hainahaja ya kusita/
ngorongoro crater, naitazama nakesha... inapendezesha bongo, tanzania neemeka/
mlima kilimanjaro/simba, nyati na wao....
ziwa victoria, nyasa ... wengine hakuna nchini kwao/

Najivunia utanzania
Uasili kwa kila njia/

Mwenyezi ametushushia wanyama miti ya kila asilia/

Tuna mibuyu mpaka tukuyu Warembo wanapata ubuyu/

Ngorongoro na manyamara Kilimanjaro Mlima wa bara /

Tumejaliwa vivutio Mnachofanya majangili sio/

Daily magendo ya tembo
Ona wengi hawana magego /

Uasili wa asili umasaini so masihara /
Tunadumisha asili vichwani ona vipara /

Wanyama mwituni Tanzanite mbuguni/
Serikali huni Wamembinfsishia mkoloni/

Licha ya Uasili bado watu duni /
Dawa EDO mr2 na babu Duni ..........

tuna misitu, wanyama tele kwa tele/
watanzania halisi kwanza piga kelele/
misele kila kanda, vivutio tele.. tanzania inapendezea, yani bongo mbele kwa mbele /
hakuna haja ya kwenda U. S, mana bongo inanibamba/
rock city mwanza, mjanja tafta kiwanja/
serengeti, ngorongoro zote zinatupa mikwanja/
aaah! mbuga mikumi naiota kwa kitanda/
ukitaka kupanda mt. kilimanjaro funga mkanda/
bahari ya hindi, upepo pata mawimbi/
nitabaki hapa bongo nchi nyengine SITIMBI/

Arusha ndo kituo /
Utalii kwa mkupuo /

Mawio mpaka machweo/
weupe Huvutiwa na vivutio /

Tuna madini almasi na dhahabu/
Tunao mbuni tausi pia Nyumbu/

ajabu Utalii wa ndani bubu /
Sio Kaboom wala Munkari wanaenda kuona Nyumbu /

Watanzania Tuamke /
Kulinda uasili waume kwa wake/

Asili yetu tuweusi /
Anaeiasi wote tumtusi /

Ona kuna wambulu na waluguru/
Wanyaturu wote tumemulikwa na nuru /

Tu wamoja wote/
Dumisheni asili tz hapafanani na popote /

Wajumbe tunaweza kupiga kura now..Nani katisha kati ya worldboss na dabo..Mada ilikuwa "VIVUTIO VYA UTALII TZ"
 
Last edited by a moderator:
Poa wakuu..Inaenda hivi..Battle inakuwa ya mtu mbili....Kunakuwa na round 2..Coz hatuna time limit basi kila mshiriki atatakiwa kutoa 16 bars kwa kila round..zen baada ya round hizo kuisha,members wengine watakuja kuvote nani ni mshindi..Mshindi atasonga mbele..atakabidhiwa mtu mwingine wa kubattle nae..mwisho wa siku tutapata mshindi mmoja

dabo worldboss magnifico radiation kaka kipande Nje ya Mada MTAZAMO TIASSA Kiranga shiny c Viol junior.cux Na members wengine

Hii imekaa njema. AM IN.
 
Last edited by a moderator:
Worap! Worap! yo! yo! Mic check! one two! one two!

Mcee ndo mimi mkali zaidi ya nyinyi!
I can rap,I can scratch na kudance ka farasi!
Mamcee wengi fake ka Mafisadi,wanasmile usoni moyoni kweusi!
yo yo yo! Sijawahi rap hapa nimejaribu kiasi,ole wako uncheke nitamstua mod akupe life ban!
mic check one two one two!

Hah hah hah hah hah nisameh nimeshindw kujizuia
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom