Muda Hip Hop: Michano pamoja na vina

Muda Hip Hop: Michano pamoja na vina

TOPIC: JAMII FORUM
Tunaelewa jf ni miongoni mwa forum kubwa tz,Na ina impact kubwa sana kwenye jamaii yetu..tunaomba muiongelee kwa mapana yake..Faida,hasara(kama zipo),members,matukio n.k..

there we go dabo vs magnifico
 
Last edited by a moderator:
Oiio gwijimimi kuja hapa. Na nakushauri mkuu topic ijayo uitunge wewe worldboss na iwe ya mapenzi mapenzi tuone ugwiji wa huyo bwana.
 
Last edited by a moderator:
washiriki wote wa battle iloopita big up sana i think radiation ndo niilitakiwa niwe kwa stage right now but kutokana na sababu zilizo nje ya uwezo wangu nimechelewa

but i'm wait the winner either dabo au magnifico aje nimtafune kama pipi
 
Poa mkuu..usikimbie tena
 
mkubwa nahisi mpinzani wako atazimia maana kwa hizi mbwembwe hatareee
 
Last edited by a moderator:

Similar Discussions

Back
Top Bottom