Muda Hip Hop: Michano pamoja na vina

Punda usibebe mzigo /kwenda ulaya kumake bingo
Utaishia kukatwa shingo /ubaki historia ka mabitozi wa migo migo
Vijana tumedolola kiakili /ndo mana wadosi wametufanya deal
tafakari mara mbili /wapiga deal wamejaa muhimbili
Masikini ili upone /mlambe tajiri ili akuone
Matiti ya kina dada /Leo wachungaji wameyafanya ibada
Wengi wanatupoteza /wamejaa tamaa ya harufu ya fedha

Mkuu umesema sawa, na dawa ni kujituma

People bila power, ni kama kunawa bila kugusa nguna

Japo rasilimali za wazawa, wamegawa miundombinu hakuna

Ila tusibebe madawa, mana hawashikwi hawa wanaotutuma

Hawana shughuli, na wameichagua tabu

Waambie nipo FULI, bila hata ya MAGU
 
nawachek kitambo/nawaona kama chambo/vilaza,maboya hamuwezi hizi mambo
chakula cha samaki yes/listen u wakkis mi napiga mishe per day natengeneza laki/nawaona sheki hamueleweki/ndomana kwa madem zenu mnapiga deki/mi mtu safi tena ni mcheshi/ukitaka battle na mimi quote basi freshi
 
Hawatujali raia, bali matumbo yao /chuki wanazipalilia, miongoni mwa wananchi wao

Serikali na propaganda, kuwatenga watu ki ukanda/wingu limetanda, bado tupo njia panda

Ufisadi si tu kwa serikali, hadi kwa watoto wadogo /Mtoto anapewa hela ya daftari, shuleni analia kipande cha muhogo

Haha haha haha hapo kwa watoto umenena vyema kabisa
 
Nafka mtanashati,chipukz mpenda kaz
Am born to fight,wote msopenda kaz,
Msoendana na kas,anayohitaj presda,
Mmezikalia nafas,ni bora mkasalenda,
Rrrrraaaaaaa
 
sweety sixteen,
Sikumbuki kupitia,
valentine day,
Ndipo nilipofumania,
Hakuna nia hakuna ndoa,
hakuna white penye doa,
black beauty asilia,
white fake wanazimia,
 
Mbona mpo kimya, tatizo vina au jina /fakes bado mnapima, tsunami au Katrina
Mi ni jembe, nisiyechagua mkulima /si hit Kwa kushika pembe, au ngekewa za kisukuma
 
Mbona mpo kimya, tatizo vina au jina /fakes bado mnapima, tsunami au Katrina
Mi ni jembe, nisiyechagua mkulima /si hit Kwa kushika pembe, au ngekewa za kisukuma

tatizo sio jina,
Vina huna mc uchwara,
Unataka bato nasi,
Tukitokeza we unahara,
Mistari yangu profit,
we unagain tu hasara,
Hii ni zaidi ya kughani,
Sio mistari ya kuchora,
 
tatizo sio jina,
Vina huna mc uchwara,
Unataka bato nasi,
Tukitokeza we unahara,
Mistari yangu profit,
we unagain tu hasara,
Hii ni zaidi ya kughani,
Sio mistari ya kuchora,
Nitabaki kua fanani, sikia we hadhira /ki level hatufanani,ka viwango kwenye mpira
Huwezi gain profit, kwangu utapoteza dira
Mistari ipo intact, ka nyet ya bikira
 
Nitabaki kua fanani, sikia we hadhira /ki level hatufanani,ka viwango kwenye mpira
Huwezi gain profit, kwangu utapoteza dira
Mistari ipo intact, ka nyet ya bikira
Wanakuita chlor gas,
Mi nakuita chlor stress,
Huwez kuwa mimi,
ukitaja kwenye vesi,
ma mc fake nawaua,
Na sipatagi murder case,
Mc fake ondoa wasi,
vesi zangu kama risasi,
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom