Muda Hip Hop: Michano pamoja na vina

Muda Hip Hop: Michano pamoja na vina

wanasema nipige kura/ wote naona watoto
kaka kipande nakupa kura/kidogo unayo changamoto

usiombe ukutane na mimi ntakuharibu sura/kwani zako verse bado ni za kitoto

hahaha radiation

kwanza ahsante kwa kumention

acha complication

tukikutana ntakukata kama portion

nikunyonge kama dread

na kabla hujadead

ntakupa one for the road
 
Last edited by a moderator:
Mimi huyo worldboss namkubali kwa mtiririko wake ila wazo lake kuhusu uchaguzi hasa kutokupiga kura sijalipenda.
Na kaka kipande mawazo yake kama kijana nimeyapenda ila mtiririko sijaupenda!
 
Last edited by a moderator:
hahaha radiation

kwanza ahsante kwa kumention

acha complication

tukikutana ntakukata kama portion

nikunyonge kama dread

na kabla hujadead

ntakupa one for the road

tulia we mtoto me mtu mzima sio kipande

huwezi zuia hii mionzi itakukata uwe vipande


zingua nikuteke nikakutupe magwepande
 
Last edited by a moderator:
tulia we mtoto me mtu mzima sio kipande

huwezi zuia hii mionzi itakukata uwe vipande


zingua nikuteke nikakutupe magwepande


radiation ntakutafuta later

ntakukamua kama ufuta

kama lita kwa stanza utajuta

worldboss
kasema nitulie

hiyo ndo pona yako wacha nimsikie
 
nimpigie kura nani? Au niharibu kura yangu? /
kuna lowasa, magufuli nani nimpe nchi yangu?naipenda tanzania hapa ndo nyumbani kwangu /
uchaguzi unawasiri mpiga kura kuwa jasiri, tusiipoteze hii amani tukajakuwa kama wamisri/
nakosa jibu nani nimpe kura yangu, nimezichoka ahadi alizoahidiwa babu yangu/
serikali za kirafiki, viongozi si ndugu zangu.. Wanachaguana wenyewe we utachaguliwa na nani mwanangu? /

kijana

maisha ya leo sio ya jana

leo ni muda wa kufanya la maana

viongozi wanataka kura yako

kwamba watabadili kesho yako

simama tazama siku zinayoyoma

kama utakwama jamii nzima itazama

na kama usipotazama wajukuu watalalama

kura yako moja ya ndio

inaweza kuondoa vilio

au tuwe wakimbiz kutafuta kimbilio

hapa nasema na kijana

kwa maana

hakuna anayepita

kwenye msoto wa kutafuta

kama kijana

round 2 to worldboss

bado naongelea uchaguzi

kwa kila uzi na ujuzi ni juu ya uchaguzi

ili tujue aina ya kiongozi

atakayekuja kutufuta machozi

sina maana ya kufanya ubaguzi

sasa nasema na kina mama

nyie wakinamama

mnajijua mnavyopenda kulalama

kama uchaguzi ukiwa si salama

nalia kwa huruma juu ya kina mama

sasa msije fanya makosa

chaguen kiongozi asiye watosa

msidanganywe na vipesa

baada ya kura akawatosa

heshima kwa mama

bado naamini mama

mwaka huu hamtapata lawama

hakuna sera mpya, sera zote zishasemwa/
anazosema lowasa, magufuli anazirudia tena/
bora tusiwe na raisi maana pesa zetu zitapona, kuliko kuwachagua hawa watu jamani noma/
wanafunzi kushindwa kusoma, kupata kazi wasomi noma/
bei za vitu kupanda kama mzawa inanichoma/
haya yote hawakuyaona?
Tumepitwa na kenya, tunazidi kuhenya... /
2015 wagombea wote minawatema//////
mtengwa gwijimimi Heaven Sent tupe kura yako..nani mkali kati ya worldboss na kaka kipande
 
Last edited by a moderator:
Kaboom boss kashinda twende kundi lingine
 
Last edited by a moderator:
ndio Kaboom jamaa kashinda tusonge mbele

mimi sina shida nimekubali matokeo tusonge mbele hatuwezi kubaki hapa siku nzima

shoot out kwa mchizi worldboss katinga round ya pili

tangaza kundi lingine mpaka mshindi akapatikane
 
Last edited by a moderator:
ndio Kaboom jamaa kashinda tusonge mbele

mimi sina shida nimekubali matokeo tusonge mbele hatuwezi kubaki hapa siku nzima

shoot out kwa mchizi worldboss katinga round ya pili

tangaza kundi lingine mpaka mshindi akapatikane

Pamoja sana bro
 
Last edited by a moderator:
ahsanteni sana wapiga kura, ahsante zimfikie mpinzani wangu maana ameonyesha uwezo wa hali ya juu.
mwisho ningependa kumshukuru mdhamini wetu Kaboom
 
Last edited by a moderator:
ahsanteni sana wapiga kura, ahsante zimfikie mpinzani wangu maana ameonyesha uwezo wa hali ya juu.
mwisho ningependa kumshukuru mdhamini wetu Kaboom

thanks mkuu worldboss ilikua poa sana fair game

mkuu Kaboom nakupa mada sasa hivi ahsante kwa hii nafasi pia
 
Last edited by a moderator:

Similar Discussions

Back
Top Bottom