Benny
JF-Expert Member
- Jun 6, 2014
- 3,275
- 5,417
hahahah!!! mbona nishatuma mzigombona jamaa wapo kimya muda wote huo
ni freestyle mitindo huru hii
wasikeshe kuandika nyimbo
toka bara, visiwani tanzania inapendeza/
tanzania namba one.. duniani twapoteZA/
milima, mito, maziwa kila kona... vivutio vya asili tanzania yetu noma/
lake tanganyika.. hasara usipofika, wegeni njooni bongo hainahaja ya kusita/
ngorongoro crater, naitazama nakesha... inapendezesha bongo, tanzania neemeka/
mlima kilimanjaro/simba, nyati na wao....
ziwa victoria, nyasa ... wengine hakuna nchini kwao/
Najivunia utanzania
Uasili kwa kila njia/
Mwenyezi ametushushia wanyama miti ya kila asilia/
Tuna mibuyu mpaka tukuyu Warembo wanapata ubuyu/
Ngorongoro na manyamara Kilimanjaro Mlima wa bara /
Tumejaliwa vivutio Mnachofanya majangili sio/
Daily magendo ya tembo
Ona wengi hawana magego /
Uasili wa asili umasaini so masihara /
Tunadumisha asili vichwani ona vipara /
Wanyama mwituni Tanzanite mbuguni/
Serikali huni Wamembinfsishia mkoloni/
Licha ya Uasili bado watu duni /
Dawa EDO mr2 na babu Duni ..........
Flowers njooni mshereheshe kijiwe..Najua na nyie ni wadau wa mziki atoto Heaven Sent BADILI TABIA Evelyn Salt cute b missyrose Lacute missyrose Mnachotakiwa ni kupiga kura kwa mmoja kati ya washindani