AgentX
JF-Expert Member
- Mar 7, 2015
- 1,651
- 1,700
Nje ya Mada wewe pambana na gwijimimi. Huku dabo na magnifico wakiwa wanatunga rhymes zao. Au imekaaje hii mkuu... Then mshindi kati ya magnifico na dabo atapambana na radiation a.k.a gamma rays... The dangerous emcee.
Then mshindi kati ya gwijimimi na Nje ya Mada atapambana na mshindi kati ya hao tajwa huko juu. Au Kaboom unasemaje... Nafanya hivi ili kuokoa muda. Kama umeafiki mkuu worldboss jiandae na topic.
Wakuu msisahau ku-subscribe hii thread hili kupata michano. Na live updates

Last edited by a moderator: