Muda aliodhania angebadili mtazamo wa viongozi na wa kuongoza nao umeisha bila kufanya hivo je kashindwa?

Nahisi lile kundi la mwendazake bado lina nguvu isiyoonekana serikalini, hasa nikiangalia kelele za Gwajima kuhusu Corona na vile hapajakuwepo mkakati maalum wa kumfunga mdomo.

Lakini pia, nikiangalia upande wa pili wa Msoga naona kama wapo dormant ila wanafukuta kwa chini, mabadiliko yajayo ya baraza la mawaziri kama yatakuwepo naona yatatoa picha nzuri tujue nini kiko kichwani kwa mama.
Sana
 
Back
Top Bottom