tanzania hiyoo? mtu anaweza kugawia watu 20m, kiholela bila kuwaza kuwa huko vijijini kuna matatizo mengi ambayo hiyo ingesaidia ama ingetatua kabisa matatizio kadhaa but instead unawagaia watu ili wakushangilie au waliokushangilia
Kweli? Hebu angalia anavyohangaika akifiria mtoto alieko nyumbani.N vice versa
Hongera...hii ni wapi?