Mubashara: Sahara media warudi hewani

Rfa nayo imerud au bado

[Color= yellow]Triple A[/color]
 
Kuna vituo vidogo vya Redio vilikuwa vimefungiwa pia.

1.Jembe Fm
2.Lake Fm
3.140.1 (Kilikuwa kipya)

Jembe nimeisikia leo ipo hewani.
 
Ebu jitahidi kuuliza maswali ambayo majibu yake mamejificha.
 
Ebu jitahidi kuuliza maswali ambayo majibu yake mamejificha.
hakuna swali hata moja la namna hiyo,hata ukitaka kuijua siku yako ya kufa uliza kuna watu humu watakujibu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…