Muasisi awashukia 'wabaya' wa CHADEMA

Muasisi awashukia 'wabaya' wa CHADEMA

Status
Not open for further replies.
TATIZO LA VIROBA HABARI ULETE WEWE na kuitimisha uitimishe wewe,poor UVCCM sasa mnasueni NCHEBA na NCHIMBI katika sakata la kumvamia DR mvungi,nyinyi mi ccm ICC inawahusu ngojeni tu muulizeni UHURUTO

Chadema ni saccos ya Mtei's familly.
 
Mushi,

Umeniangusha sana uliposema uko radhi nchi imwage Damu ili Mtei awe muamuzi mkuu wa mambo ya kitaifa.

Hili sakata la kumdhurumu Zitto limeibua hisia zenu nyingi mlizozificha muda mrefu.

By the way, damu unayosema imwagike ni ya nani? uko tayari imwagike damu yako?

Cc Nguruvi3 Ritz Kimbunga chama MwanaDiwani
ungetaka nijibu ungeli quote bandiko husika.Kuhusu mfano ulioletwa hapa,kiukweli ni irrelevant.Iran wanatawaliwa ni mfumo wa kiislam,na katiba na miongozo yao vinafahamika wazi.Ayatolah hajastaafu kama mzee Mtei,ni mtu anayejulikana cheo chake na ndiye supreme leader kwa mujibu wa katiba yao.Unapofananisha kitu kilichokuwepo na hisia halafu ukaita hoja uachiwe?
 
Last edited by a moderator:
Mkuu THE BIG SHOW,

Wacha nikusaidie kiduchu kumalizia hiyo sentence/comment yako....

....waache maneno yao ya kwenye vijiwe vya mbege! Teh! Teh!

Ahsanta.
Kejeli zenyewe zinaonyesha tu chuki,mbege ni kinywaji cha wachagga kinachoheshimika kwenye utamaduni wao.Sasa hiyo ndo hoja ya msingi,Halafu wewe na kubwa jinga mnatumia kifaa kimoja ama ndo wewe tu?
 
Wewe acha utoto wa keyboard Gangstar na kutisha watu mitandaoni!...hiyo single yako mbona ilisha-expire!

Embu fafanua hiyo kauli yako ya kipuuzi na ya mtu aliyechangayikiwa na maisha!?...

...kwani wewe ndo "unawakilisha" mawazo,mihemuko na fikra za Wachaga woote hapo nchini au yule Nabii wa Tengeru!? Teeh! Teh! Teh!

Ahsanta.
Hujasikia mananeo kama vile "mchagga hatakaa ashike nchi" nk?usijitie upofu ili kuuteteta ujinga ulioubandika hapa ambao ni irrelevant to the extreme.
 
Neno usaliti/wasaliti ni ngonjera inayoimbwana Mtei, Slaa, Lema na Mbowe.

Hii ngonjera wanaitumia kama karata pekee ya kumchafua Zitto. Wamekosa hoja na wanajua wakienda kwa hoja Zitto atakitoa chama Tengeru na kukipeleka kwa wanachama.

Mtei anahofia his grip is loosening.
ZeMarcopolo,
Zitto na Kitila walikiri kwenye waraka wao wa siri kuwa muasisi Mtei na aliyemfuatia marehemu mzee Makani walikuwa good and examplary. Je wewe ni kwa nini umeendelea kumchafua Mzee Mtei?

Hoja zako nyingi juu ya Mzee Mtei kama ilivyo kwa CHADEMA ni za kutunga, potofu na hazina ukweli.

Nimejiuzuia mara nyingi lakini toka siku ile ulipozusha kuwa Mohamed Mtoi kaondolewa CHADEMA nilikudharau sana. That was a final straw. Najiuliza hata kama ni njia ya kupata kipato uliyoichagua; ni wazi njia hiyo ni dhalili na inakudhalilisha kama binadam wachalia mbali tofauti zetu kiiitikadi na maisha kwa ujumla.

Learn to draw a line; you should allow some form of dignity to come your way dude.
 
Lema anapata kiburi cha kuropoka mitandaoni kwa sababu yeye ni kijana wa Mtei.

Mtei alikataa kushiriki kupigania uhuru, akakata kujitolea kuitumikia nchi katika kipindi kigumu na sasa anataka kuivuruga nchi kwa kupitia Chadema!!!

Ubinafsi mbaya sana...

Magamba bwana kwa kupotosha!
Unalijua lengo la kupigania uhuru wewe!?Ilikuwa ni kupigania nchi yetu ili tujiongoze wenyewe na kutoa haki sawa kwa watanzania wote bila ubaguzi wala manyanyaso.
Je,malengo hayo yamefikiwa?Wapigania uhuru wote wamemwaga damu zao bure,kwani yote waliyopigania mmeyatupa kapuni.Kama vile;

•Mmeuza ardhi yetu bure kwa wageni na kuwafukuza watanzania wazalendo na kuwafanya manamba kwenye ardhi Yao wenyewe.
•Mmegawa maliasili zetu bure kwa wageni kama gesi na kusaini mikataba ya siri yenye manufaa kwenu na kwa familia zenu.
•Mmeharibu elimu kwa makusudi ili kizazi cha CCM ndicho kiendelee kuwa tabaka tawala milele.
•Mmeua tembo wetu kwa tamaa tu ya utajiri na kuiba twiga kwa kuwasafirisha nje ya nchi kwa manufaa yenu binafsi na ya familia zenu.
•Mmeua baadhi ya wale wote wanaowapinga kwa kuhofia kuhatarisha maslahi yenu na wengine kuwapa vilema vya kudumu.
•Mmebaka watoto wetu na kuwaambukiza HIV kana kwamba hiyo ni agenda yenu mojawapo kwenye kampeni zenu huku mkitamba kuwa hakuna wa kuwagusa.
•Mmefanya ufisadi wa kutisha kwenye makampuni ya serikali huku mkiwalazimisha wananchi walipe madeni na hasara mliyoyaingizia hayo makampuni kwa makusudi,kama ambavyo mmewapandishia bei ya umeme kwa 68% na kuwakejeli juu kwa kuwaambia kama hawawezi wawashe vibatari!
•Mmeua miundo mbinu ya reli kwa makusudi ili muweze kufanya biashara kupitia mabasi na malori mnayoyamiliki wenyewe.
•Mmetengeneza barabara zilizo chini ya kiwango ili muundelee kujitajirisha kupitia pesa za matengenezo za barabara hizo.NK..

Na kama hao wapigania uhuru wanaona hayo mnayoyafanya huko walipo wanajuta na pengine wanajiuliza walipoteza nguvu zao na maisha Yao kwa ajili ya nini?wakati hamuuenzi uhuru huo?
 
Kejeli zenyewe zinaonyesha tu chuki,mbege ni kinywaji cha wachagga kinachoheshimika kwenye utamaduni wao.Sasa hiyo ndo hoja ya msingi,Halafu wewe na kubwa jinga mnatumia kifaa kimoja ama ndo wewe tu?
Wapotezee tu hawa wagonjwa; wameuza nafsi zao na utu wao kwa kipande cha mkate. To me they've got a worst deal than chief Mangungo of Msovero!

Hebu fikiri:
Waraka ule wa siri ulipowekwa hapa JF wengi wao walidai eti ulikuwa doctored (as if they knew anything). Wameumbuliwa na Dr. Kitila aliyekiri kuwa ule ni bona-fide genueine (kwa lugha ya Pasco 100%)! Lakini jinsi wasivyo na soni wala utu wala hawakuomba radhi wala kujirekebisha. Badala yake wanajiweka kwenye uzushi na fitna nyingine kama nyumbu.

Watu hawa wamekuwa wakidai CHADEMA ni chama cha Wachaga na/au watu wa Kaskazini (kana kwamba hao sio Watanzania wala hawana haki sawa) na udini. Cha kushangaza juzi pale Serena Zitto amedai (controversialy) 45% ya wana Kigoma waliipa CHADEMA kura za urais; na pia kule nako kuna watu waliopoteza uhai na mali zao kwa ajili ya CHADEMA. Je Kigoma ni kwa Wachagga? Kigoma ni ukanda wa Kaskazini?

Mwisho, Je uliwahi kumsikia Zitto akikanusha kwa nguvu kuwa CHADEMA sio cha ukanda na udini kama ambavyo sasa na siku zijazo atakavyojaribu kutuaminisha kuwa akifukuzwa basi CHADEMA itaipoteza Kigoma? Hawa wote ni wanafiki na wasaliti. Wana chuki ya asili na ukweli.

Ndio maana kwa aina ya "washauri" na wapambe wa aina hii, Zitto anaonekana kituko kwa watu wenye akili zao. He's a chosen genius among the idi.ots and thugs; a king of the brainless bigots.
 
ZeMarcopolo,
Zitto na Kitila walikiri kwenye waraka wao wa siri kuwa muasisi Mtei na aliyemfuatia marehemu mzee Makani walikuwa good and examplary. Je wewe ni kwa nini umeendelea kumchafua Mzee Mtei?

Hoja zako nyingi juu ya Mzee Mtei kama ilivyo kwa CHADEMA ni za kutunga, potofu na hazina ukweli.

Nimejiuzuia mara nyingi lakini toka siku ile ulipozusha kuwa Mohamed Mtoi kaondolewa CHADEMA nilikudharau sana. That was a final straw. Najiuliza hata kama ni njia ya kupata kipato uliyoichagua; ni wazi njia hiyo ni dhalili na inakudhalilisha kama binadam wachalia mbali tofauti zetu kiiitikadi na maisha kwa ujumla.

Learn to draw a line; you should allow some form of dignity to come your way dude.

Je, unakubaliana na yale yaliyoandikwa kwenye waraka au unachagua yanayofurahisha roho yako tu?

"Kiongozi Mkuu wa Chadema yuko too local" - waraka

"Mida Eight anatumiwa na Dr. Slaa kusambaza fitina" - waraka

"Mtei anaichagulia Chadema viongozi" - mh. Arfi

Want some more?
 
Want some more?
ZeMarcopolo, je unakumbuka haya maneno yako JF kumhusu Zitto wakati alipotishia kutogombea ubunge mwaka 2010?
16th June 2009 - Ukitaka kujua kuwa Zitto hasemi ukweli soma maelezo yake vizuri. Anasema kuwa hana shida na pesa, amejiwekea msingi mzuri wa kiuchumi. Lakini katika maelezo hayohayo vipato vyake vyote anavyovitaja ni vya kutokana na ubunge ambao anauacha! kuna kipato gani kati ya alivyovitaja kwenye maelezo yake ambacho kinatokana na msingi mzuri wa uchumi aliojiwekea? Hii inaonyesha kuwa Zitto anayo source ya kipato ambayo haitakuwa ya kiuanafunzi, ingawa atakuwa mwanafunzi. Source hiyo ni ipi?
Kuna wakati hata huyu ZeMarcopolo alikuwa ana wasi wasi na Zitto kuhusu source ya vipato vyake...sijui leo!
 
Mimi ninakubaliana na Mzee Mtei maneno yake aliyozungumza yana ukweli ndani yake. Kuna maaduwi wa chama cha chadema wanafanya kila mbinu kukimaliza hicho chama na wasipokuwa makini sizani kama hichi chama kitashinda kwenye uchaguzi ujao.Muwe waangalifu wana chadema maaduwi zenu hawalali wapo macho kila wakati wanakufuatilieni kwa makini sana.
 
Mushi,

Umeniangusha sana uliposema uko radhi nchi imwage Damu ili Mtei awe muamuzi mkuu wa mambo ya kitaifa.

Hili sakata la kumdhurumu Zitto limeibua hisia zenu nyingi mlizozificha muda mrefu.

By the way, damu unayosema imwagike ni ya nani? uko tayari imwagike damu yako?

Cc Nguruvi3 Ritz Kimbunga chama MwanaDiwani

Mkuu ZeMarcopolo
Hawa makamanda ni wapigania uhuru wakiwa kwenye mitandao; lakini ukweli wanaufahamu hawa watu kama jmushi1 vibaraka tu; wanatumiwa tu kumwaga pumba jamvini; Iran wamepitia mifumo mingi walimpomkataa Shah walimngo`a huu mfumo walionao wanaukubali; na ndiyo maana bado upo madarakani; wasioukubali mfumo wa Iran ni za magharib lakini wananchi wa kawaida wanaikubali demokrasia ya Iran ambayo inakubali ukwakilishi wa dini zote ndani bunge la Iran wapo wawakilishi wa wayahudi na wakristo; huyo kamanda anaongelewa kumwaga damu angeanza yeye basi ili wakombozi wenzake kina Mohamedi Mtoi wamuunge mkono!
 
Yani unakubaliana na hoja yangu halafu hapo hapo bado unaniponda tu ili uingize siku?Usiwaite watu majina kama huwajui.Siwezi kuwa kibaraka wa mtu yeyote yule!not. Dis man!
 
Last edited by a moderator:
Mushi,

Umeniangusha sana uliposema uko radhi nchi imwage Damu ili Mtei awe muamuzi mkuu wa mambo ya kitaifa.

Hili sakata la kumdhurumu Zitto limeibua hisia zenu nyingi mlizozificha muda mrefu.

By the way, damu unayosema imwagike ni ya nani? uko tayari imwagike damu yako?

Cc Nguruvi3 Ritz Kimbunga chama MwanaDiwani

Duuh yaani imefikia hatua ya watu kusema damu imwagike? Hivi kuna mtu anajua damu ya mtu inavyomwagika au wanadhani damu ya mtu ni sawa na kisusio?
 
Mzee Mtei pamoja na kuwa very friendly na akikuambia chochote huwa anatabasabu na very honest,Ila huwa anachoma wajinga kwa maswali ya majibu yenye akili sana.

Maccm huwa yakimkuta huwa yanapiga magoti na kusalimia kwa nguvu kabla ya kujipa role ya washauri.Huanza na maandamano, halafu inakuja ya Lema..sijui sasa itasemaje.Mara nyingi MaCCM wakipata nafsi huwa inajichekesha na kumwambia.Mzee kijana karudi mtaani..lakini mzee unaonaje sasa mkimweka chini na kumtuliza ili sasa afanyie kazi wapiga kura wake...sijui muda uliobaki ni mfupi sana kuweza watumikia watu wake...na blaha blah kibao.Sijui Mzee unaonaje...?

Mzee anacheka na kuwaambia ..."mimi Sina Shida....ni style yake"..Mzee akisogea inaanza lalamika si unaona na mzee mwenyewe fujo tupu.Sijui mzee mwenyewe anawadekeza..yaani ni vituko.Inaonyesha fikra za CCM ndizo shida dhidi ya Mzee.Ukizingatia ndio wao wanaoomba uhuru uwe na mipaka.

Nataka jiuliza Km Huyu Mzee anagkuwa dictator..Mngekuwa mkiudhika kwa majibu yake yanayowaumiza kuhsu kumdhibiti Lema.?Mzee anatambua style za watu wenye nia na uaminifu kwa chama.
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom