Muasisi awashukia 'wabaya' wa CHADEMA

Muasisi awashukia 'wabaya' wa CHADEMA

Status
Not open for further replies.
traitors mtahangaika sana! zitto kashanyea kambi! guess what???

Tatizo la wanachama wapya wa CDM ndio hili,hawajui ukweli wa CDM ilipotoka mpaka kufika hapa,na hilo linawafanya wawe ama vipofu au wanaona na kuujua ukweli ila ni kwa sababu ya njaa zao ndio maana kila mtu anayejaribu kuongea ukweli anaitwa msaliti,kambi ya zitto na majina mengi ya ajabu ajabu.
 
HUna tofauti na mtoto muasi anayebishana na babake...akjitetea kwa watu kuwa hwajui sana..kuzaliwa kwake na kutungwa kwa mimba iliyomleta(hapa kujiunga hadi kuwa kiongozi) jinsi alivyochangia sana...tafakari.
 
Chadema tutakuwa pamoja mpaka ukombozi upatikane,viongozi wa chadema ni sawa na Madela haondoki mtu mpaka kieleweke

punguza hamasa na jifunze utulivu wakati uanaandika...Madela ni nani katika siasa za dunia?

tunamfahamu Mandela siyo Madela.
 
Sasa umeandika nini, jiheshimu bwana, usilete habari za kike humu, umekosa kabisa vya kuandika watanzania wakajidai kuwa tuna mtu, jirekebishe, unatumika vibaya na watakutupa vibaya, hawafai hao watu shauri yako.
 
Habari za wk end wana JF,naomba tuchangia mada hii kwa umakini.kwa sasa watanzania wengi tuna imani na chama cha demokrasia CDM kuwaletea maendeleo baada ya CCM kushindwa. Lkn kwa bahati mbaya mwasisi wa chama hiki mzee wetu mtei amekuwa na ushawishi mkubwa ndani ya chama. Kwa kuwa amekifanyia mengi kukifisha hapa kilipo kwaani nakumbuka mwaka1995 nikiwa nasoma pale Tabora mzee Mtei alitoa hotuba yenye kusisimua bila kumtukana mtu km wanasiasa wa sasa. Lkn pamoja na kutambua mchango wake nilifikiri ni wkt sasa wa kuruhusu chama kijiendeshe chenyewe bila ushawishi wake. Nasikia mwenyekiti wa sasa mh Mbowe ni mkwe wa mzee Mtei. Km ni hivyo mwenyekiti hawezi kumpinga baba mkwe wake ambaye ni km mzazi wake pia. Ikiwa na maana kwamba aikienda kinyume na maagizo au mawazo ya mzee basi athari zake zinaweza kuhamia ktk mahusiano ya kifamilia.

Achen kuwa na narrow mind kwa kushindwa kuelewa nafas ya "muhasisi" ktk chama chochote si tu cdm na taasisi yoyote au kikundi. REF: Nyerere alivyokuwa anachagua nani awe Rais n.k na aliacha kuwa na inlfuence ktk ccm baada ya kufa. Huwezi kamwe kumtenga mhasisi yeyote na kitu alichokihasisi,Ni kifo tu kitamtenga.
 
Habari za wk end wana JF,naomba tuchangia mada hii kwa umakini.kwa sasa watanzania wengi tuna imani na chama cha demokrasia CDM kuwaletea maendeleo baada ya CCM kushindwa. Lkn kwa bahati mbaya mwasisi wa chama hiki mzee wetu mtei amekuwa na ushawishi mkubwa ndani ya chama. Kwa kuwa amekifanyia mengi kukifisha hapa kilipo kwaani nakumbuka mwaka1995 nikiwa nasoma pale Tabora mzee Mtei alitoa hotuba yenye kusisimua bila kumtukana mtu km wanasiasa wa sasa. Lkn pamoja na kutambua mchango wake nilifikiri ni wkt sasa wa kuruhusu chama kijiendeshe chenyewe bila ushawishi wake. Nasikia mwenyekiti wa sasa mh Mbowe ni mkwe wa mzee Mtei. Km ni hivyo mwenyekiti hawezi kumpinga baba mkwe wake ambaye ni km mzazi wake pia. Ikiwa na maana kwamba aikienda kinyume na maagizo au mawazo ya mzee basi athari zake zinaweza kuhamia ktk mahusiano ya kifamilia.

Ndiyo maana Watanzania tunadharaulika kila kukicha. Yaani sisi ni wajinga mpaka tumechokwa kabisa na dunia nzima.
Chama kinaendeshwa kwa misingi ya Sheria na Katiba, misingi na miongozo iliyojiwekea yenyewe kama chama, sasa wewe mleta mada nadhani hata jina lako hujui unaitwa nani
 
Kilicho nitia moyo na imani ni kwa tukio lakuwavua nyazifa wasaliti wote limebaki shetani moja ambalo sijui kwanini linan'gan'gania chama chetu.

Eti kwanini ,,!!!? Mtu unanganania chama kama mali yako .siande ccm ,nccr .au ata anzishe chama chake !!!!
 
Hata mwalimu nyerere alikipangia safu ya maraisi ccm km kumtosa JK, LE,MALECELA nk...ccm ikawa imara.Inakuaje mzee mtei aonekane tofautii?
Au ndo mkuki kwa nguruwe eeeh!
 
Tumia kichwa kifikiri badala machicha. Nyerere aliacha ushawishi wake ccm lini?

We kweli kiazi. Huyo Nyerere ndio alikuwa Mungu wenu hadi kila kitu mnamfanyia refference? .
 
kuna wosia umeshaandikwa lazima kirithishwe kwa mtu mwingine sahau hilo
 
Status
Not open for further replies.

Similar Discussions

Back
Top Bottom