Muasisi awashukia 'wabaya' wa CHADEMA

Muasisi awashukia 'wabaya' wa CHADEMA

Status
Not open for further replies.
We umeandika nini hiki sasa? Utadhani mtoto wa Std V anayejifunza Essay Writting!
 
ZeMarcopolo,
Zitto na Kitila walikiri kwenye waraka wao wa siri kuwa muasisi Mtei na aliyemfuatia marehemu mzee Makani walikuwa good and examplary. Je wewe ni kwa nini umeendelea kumchafua Mzee Mtei?

Hoja zako nyingi juu ya Mzee Mtei kama ilivyo kwa CHADEMA ni za kutunga, potofu na hazina ukweli.

Nimejiuzuia mara nyingi lakini toka siku ile ulipozusha kuwa Mohamed Mtoi kaondolewa CHADEMA nilikudharau sana. That was a final straw. Najiuliza hata kama ni njia ya kupata kipato uliyoichagua; ni wazi njia hiyo ni dhalili na inakudhalilisha kama binadam wachalia mbali tofauti zetu kiiitikadi na maisha kwa ujumla.

Learn to draw a line; you should allow some form of dignity to come your way dude.

Mkuu

Huyu jamaa nimeamua kumpuuza kwa kauli na kejeli zake, ni mzushi na mfitini kwa kiasi kisicho elezeka.
 
Magamba ni kuyapuuza tu.yanakula kwa sababu ya hizi posti za kijingajinga
 
Wachaga walio wengi wamesoma na wana akili za kiuchumi zaidi kuliko kabila lolote tz

toa ukabila jamvini.

Na wanyamwezi wenye lipumba watasemaje.
Kuliko kabila lolote labda kwa ubaguzi na nimekustahi
 
Wapotezee tu hawa wagonjwa; wameuza nafsi zao na utu wao kwa kipande cha mkate. To me they've got a worst deal than chief Mangungo of Msovero!

Hebu fikiri:
Waraka ule wa siri ulipowekwa hapa JF wengi wao walidai eti ulikuwa doctored (as if they knew anything). Wameumbuliwa na Dr. Kitila aliyekiri kuwa ule ni bona-fide genueine (kwa lugha ya Pasco 100%)! Lakini jinsi wasivyo na soni wala utu wala hawakuomba radhi wala kujirekebisha. Badala yake wanajiweka kwenye uzushi na fitna nyingine kama nyumbu.

Watu hawa wamekuwa wakidai CHADEMA ni chama cha Wachaga na/au watu wa Kaskazini (kana kwamba hao sio Watanzania wala hawana haki sawa) na udini. Cha kushangaza juzi pale Serena Zitto amedai (controversialy) 45% ya wana Kigoma waliipa CHADEMA kura za urais; na pia kule nako kuna watu waliopoteza uhai na mali zao kwa ajili ya CHADEMA. Je Kigoma ni kwa Wachagga? Kigoma ni ukanda wa Kaskazini?

Mwisho, Je uliwahi kumsikia Zitto akikanusha kwa nguvu kuwa CHADEMA sio cha ukanda na udini kama ambavyo sasa na siku zijazo atakavyojaribu kutuaminisha kuwa akifukuzwa basi CHADEMA itaipoteza Kigoma? Hawa wote ni wanafiki na wasaliti. Wana chuki ya asili na ukweli.

Ndio maana kwa aina ya "washauri" na wapambe wa aina hii, Zitto anaonekana kituko kwa watu wenye akili zao. He's a chosen genius among the idi.ots and thugs; a king of the brainless bigots.

Hicho ni chama cha ukabila bila ubishi. Na mwanzo kilikuwa kinaitwa Chaga Development manifesto tujua sana na mbaya zaidi ni ukoo maana muasisi ni Mtei.

Mwenyekiti mkwewe mwekahazina mwanae sasa hicho chama kampuni kama mnataka chama cha siasa tafuteni lakini siyo Chadema.

Siku zote vingozi watoke kasikazini wakatokea mikoa mengine kosa la jinai
 
Habari za wk end wana JF,naomba tuchangia mada hii kwa umakini.kwa sasa watanzania wengi tuna imani na chama cha demokrasia CDM kuwaletea maendeleo baada ya CCM kushindwa. Lkn kwa bahati mbaya mwasisi wa chama hiki mzee wetu mtei amekuwa na ushawishi mkubwa ndani ya chama. Kwa kuwa amekifanyia mengi kukifisha hapa kilipo kwaani nakumbuka mwaka1995 nikiwa nasoma pale Tabora mzee Mtei alitoa hotuba yenye kusisimua bila kumtukana mtu km wanasiasa wa sasa. Lkn pamoja na kutambua mchango wake nilifikiri ni wkt sasa wa kuruhusu chama kijiendeshe chenyewe bila ushawishi wake. Nasikia mwenyekiti wa sasa mh Mbowe ni mkwe wa mzee Mtei. Km ni hivyo mwenyekiti hawezi kumpinga baba mkwe wake ambaye ni km mzazi wake pia. Ikiwa na maana kwamba aikienda kinyume na maagizo au mawazo ya mzee basi athari zake zinaweza kuhamia ktk mahusiano ya kifamilia.
 
Watanzania walio wengi!!!!! Ndoto za mchana hizi
 
Mzee Mtei ni mwenyekiti wa kudumu wa SACCOS ijulikanayo kama CHADEMA, hataondoka kamwe
 
traitors mtahangaika sana! zitto kashanyea kambi! guess what???
 
Habari za wk end wana JF,naomba tuchangia mada hii kwa umakini.kwa sasa watanzania wengi tuna imani na chama cha demokrasia CDM kuwaletea maendeleo baada ya CCM kushindwa. Lkn kwa bahati mbaya mwasisi wa chama hiki mzee wetu mtei amekuwa na ushawishi mkubwa ndani ya chama. Kwa kuwa amekifanyia mengi kukifisha hapa kilipo kwaani nakumbuka mwaka1995 nikiwa nasoma pale Tabora mzee Mtei alitoa hotuba yenye kusisimua bila kumtukana mtu km wanasiasa wa sasa. Lkn pamoja na kutambua mchango wake nilifikiri ni wkt sasa wa kuruhusu chama kijiendeshe chenyewe bila ushawishi wake. Nasikia mwenyekiti wa sasa mh Mbowe ni mkwe wa mzee Mtei. Km ni hivyo mwenyekiti hawezi kumpinga baba mkwe wake ambaye ni km mzazi wake pia. Ikiwa na maana kwamba aikienda kinyume na maagizo au mawazo ya mzee basi athari zake zinaweza kuhamia ktk mahusiano ya kifamilia.

Mulugo ametuletea shida sana na div 5 zake. Hii ni purely div 5 product. Bure kabisa
 
Zitto amemchumbia Mwanaasha, mwambieni ampe Uwaziri, January Makamba, Yusuph Makamba, Moses Mnauye, Nape Mnauye, Hussein Mwanyi, ali Hassan Mwinyi, Kikwete, Riziwani, Miraji, Salma kikwete, Ayubu kimbau, Le Mutuz, Malecela, Kilango, Kate Kamba, Blasius Mkapa, Ana Mkapa, Mramba Tanesco, Mramba basil, Kawawa x 4, Malima x 3, Karume x 3...list ndefuu... anzeni kwanza magamba ....
 
Habari za wk end wana JF,naomba tuchangia mada hii kwa umakini.kwa sasa watanzania wengi tuna imani na chama cha demokrasia CDM kuwaletea maendeleo baada ya CCM kushindwa. Lkn kwa bahati mbaya mwasisi wa chama hiki mzee wetu mtei amekuwa na ushawishi mkubwa ndani ya chama. Kwa kuwa amekifanyia mengi kukifisha hapa kilipo kwaani nakumbuka mwaka1995 nikiwa nasoma pale Tabora mzee Mtei alitoa hotuba yenye kusisimua bila kumtukana mtu km wanasiasa wa sasa. Lkn pamoja na kutambua mchango wake nilifikiri ni wkt sasa wa kuruhusu chama kijiendeshe chenyewe bila ushawishi wake. Nasikia mwenyekiti wa sasa mh Mbowe ni mkwe wa mzee Mtei. Km ni hivyo mwenyekiti hawezi kumpinga baba mkwe wake ambaye ni km mzazi wake pia. Ikiwa na maana kwamba aikienda kinyume na maagizo au mawazo ya mzee basi athari zake zinaweza kuhamia ktk mahusiano ya kifamilia.

Usisite pia kupitia OFISI za MZEE NGOMBALE MWIRU na kumuambia hivyo hivyo ni wakati wa kukiachia CCM kidunde chenyewe; HAPO HAPO utakuwa MwanaDemokrasia halali wa NCHI yetu...
 
Kilicho nitia moyo na imani ni kwa tukio lakuwavua nyazifa wasaliti wote limebaki shetani moja ambalo sijui kwanini linan'gan'gania chama chetu.
 
Habari za wk end wana JF,naomba tuchangia mada hii kwa umakini.kwa sasa watanzania wengi tuna imani na chama cha demokrasia CDM kuwaletea maendeleo baada ya CCM kushindwa. Lkn kwa bahati mbaya mwasisi wa chama hiki mzee wetu mtei amekuwa na ushawishi mkubwa ndani ya chama. Kwa kuwa amekifanyia mengi kukifisha hapa kilipo kwaani nakumbuka mwaka1995 nikiwa nasoma pale Tabora mzee Mtei alitoa hotuba yenye kusisimua bila kumtukana mtu km wanasiasa wa sasa. Lkn pamoja na kutambua mchango wake nilifikiri ni wkt sasa wa kuruhusu chama kijiendeshe chenyewe bila ushawishi wake. Nasikia mwenyekiti wa sasa mh Mbowe ni mkwe wa mzee Mtei. Km ni hivyo mwenyekiti hawezi kumpinga baba mkwe wake ambaye ni km mzazi wake pia. Ikiwa na maana kwamba aikienda kinyume na maagizo au mawazo ya mzee basi athari zake zinaweza kuhamia ktk mahusiano ya kifamilia.
Chadema tutakuwa pamoja mpaka ukombozi upatikane,viongozi wa chadema ni sawa na Madela haondoki mtu mpaka kieleweke
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom