Muamala wa Lowassa hatarini

Muamala wa Lowassa hatarini

Maramla

JF-Expert Member
Joined
Jan 8, 2014
Posts
588
Reaction score
648
Katika hali isiyo ya kawaida wapambe wanaofanya kazi za katika kampeni na lowasaa wameanza kulalamika baada ya mirija ya fedha walizokuwa wakipewa kuanza kupungua...vijana hao hasa...wakiwemo waandishi wamesikika wakilalamika kutopata fedha kwa wakati, na katika kujinasua na kuaibika Lowassa ameanza mipango ya kutafuta kutoka outside source...

Hii sasa hatari
 
Basi ana akili if he can manage collecting from outside sources incase of deficity
 
Huko anakozikusanya ikifika kuzirudisha ndio shughuli bin tafrani, tutegemee watoto,wajukuu na vitukuu vya richmond.
 
Katika hali isiyo ya kawaida wapambe wanaofanya kazi za katika kampeni na lowasaa wameanza kulalamika baada ya mirija ya fedha walizokuwa wakipewa kuanza kupungua...vijana hao hasa...wakiwemo waandishi wamesikika wakilalamika kutopata fedha kwa wakati, na katika kujinasua na kuaibika Lowassa ameanza mipango ya kutafuta kutoka outside source...

Hii sasa hatari

Usijisahau ukumbuke kuwa anazotumia magufuli ni kodi yetu!
 
Lowassa Mabadiliko Mabadiliko Lowassa .. Tumefanywa maskini wakujitakia.CCM potezea mbali mwaka huu
 
  • Thanks
Reactions: jcb
Huyu jamaa ndo anatufaa tukimchagua hata cku moja hatutalalamika njaa. Lowassa safi sanaaaaaaaaa
 
Katika hali isiyo ya kawaida wapambe wanaofanya kazi za katika kampeni na lowasaa wameanza kulalamika baada ya mirija ya fedha walizokuwa wakipewa kuanza kupungua...vijana hao hasa...wakiwemo waandishi wamesikika wakilalamika kutopata fedha kwa wakati, na katika kujinasua na kuaibika Lowassa ameanza mipango ya kutafuta kutoka outside source...

Hii sasa hatari

Sisi tutajitolea
 
Waandishi wetu wajifunze kufanya kazi kwa weledi. Kuhongwa hongwa kunawafanya wakumbatie mafisadi
Halafu wanahongwa na jitu la ajabu ajabu amakweli tuna ma poyoyo ya waandishi TEAM WAZALENDO
 
Sifa muhimu na kubwa ktk sisiem inakutaka uwe mwonga na ujitoe akili ndiyo mambo yaende .
 
Waandishi wetu wajifunze kufanya kazi kwa weledi. Kuhongwa hongwa kunawafanya wakumbatie mafisadi
kuna mtangazaji mmoja TBC aliwahi kusoma magazeti asubuhi kwa.weledi mkubwa sana aisee
 
Back
Top Bottom