Huyu anafaa hakuna kulala njaa
Wakwenu hawalalamiki kwa kuwa wanachotewa fedha hazina?
Waandishi wetu wajifunze kufanya kazi kwa weledi. Kuhongwa hongwa kunawafanya wakumbatie mafisadi
Haziwezi kwisha....
Huu upotoshaji ufikie mwisho jamani. Hii sheria haina meno kabisaa
Waandishi wetu wajifunze kufanya kazi kwa weledi. Kuhongwa hongwa kunawafanya wakumbatie mafisadi
Fisadi kaishiwa tena. C ndo kaiba hela zote nchi hii uyu.What a contradiction?
Waandishi wetu wajifunze kufanya kazi kwa weledi. Kuhongwa hongwa kunawafanya wakumbatie mafisadi
Katika hali isiyo ya kawaida wapambe wanaofanya kazi za katika kampeni na lowasaa wameanza kulalamika baada ya mirija ya fedha walizokuwa wakipewa kuanza kupungua...vijana hao hasa...wakiwemo waandishi wamesikika wakilalamika kutopata fedha kwa wakati, na katika kujinasua na kuaibika Lowassa ameanza mipango ya kutafuta kutoka outside source...
Hii sasa hatari
Kama KIKWETE ameshindwa kuacha kukumbatia mafisadi, Waandishi wataweza kweli?Waandishi wetu wajifunze kufanya kazi kwa weledi. Kuhongwa hongwa kunawafanya wakumbatie mafisadi