Muamala wa Lowassa hatarini

Muamala wa Lowassa hatarini

Huko anakozikusanya ikifika kuzirudisha ndio shughuli bin tafrani, tutegemee watoto,wajukuu na vitukuu vya richmond.

Mkuu atoto unaamini vipi propaganda nyepesi kama hizo bila evidence yeyote???...UNLESS OTHERWISE WEWE NI GAMBA...maana huyo mleta thread alitakiwa kutuwekea ushahidi ata wa VOICE CLIP wa hao wafanyakazi wakiwemo waandishi wa campaigns za lowassa wakilalamikia kutolipwa ujira wao au kupewa ujira kidogo lakini sio kama anavyoleta tu habari za kusadikika hivihivi bila evidence alafu aaminike tena kwa ukizingatia kipindi hiki CCM ikining'inia na kamba ya manila mtini hivyo wanahaha kuikata hiyo kamba bila mafanikio hadi sasa!
 
Hizo pesa ni zetu na atazirudisha tu
 
Habari yako chanzo kimetoka wap au ndo propaganda na uzushi
 
Katika hali isiyo ya kawaida wapambe wanaofanya kazi za katika kampeni na lowasaa wameanza kulalamika baada ya mirija ya fedha walizokuwa wakipewa kuanza kupungua...vijana hao hasa...wakiwemo waandishi wamesikika wakilalamika kutopata fedha kwa wakati, na katika kujinasua na kuaibika Lowassa ameanza mipango ya kutafuta kutoka outside source...

Hii sasa hatari
mkuu ni vema ukituwekea ushahidi kidogo .
 
Watu hatufuati pesa tunataka mabadiliko.nyie mko huko ccm ndio maana hamuangalii matatizo ya ndugu zenu mnaangalia pesa tu,aibu hiyo ndugu.badilika .shangazi zako ,bibi zako na binamu zako wanaitaji mabadiliko ya kweli
 
Hivi Lowasa alivyojipanga unadhani atakosa hela ya kampeni?
Au unadhani alijua kampeni ni siku moja?
 
Katika hali isiyo ya kawaida wapambe wanaofanya kazi za katika kampeni na lowasaa wameanza kulalamika baada ya mirija ya fedha walizokuwa wakipewa kuanza kupungua...vijana hao hasa...wakiwemo waandishi wamesikika wakilalamika kutopata fedha kwa wakati, na katika kujinasua na kuaibika Lowassa ameanza mipango ya kutafuta kutoka outside source...

Hii sasa hatari

Lowassa phobia!
 
Mkuu atoto unaamini vipi propaganda nyepesi kama hizo bila evidence yeyote???...UNLESS OTHERWISE WEWE NI GAMBA...maana huyo mleta thread alitakiwa kutuwekea ushahidi ata wa VOICE CLIP wa hao wafanyakazi wakiwemo waandishi wa campaigns za lowassa wakilalamikia kutolipwa ujira wao au kupewa ujira kidogo lakini sio kama anavyoleta tu habari za kusadikika hivihivi bila evidence alafu aaminike tena kwa ukizingatia kipindi hiki CCM ikining'inia na kamba ya manila mtini hivyo wanahaha kuikata hiyo kamba bila mafanikio hadi sasa!

Unataka evidence? Subiri octoba Maghufuri atakapoingia ikulu. Ccm hoyeeeeee.
 
11181584_812290715558669_4808829618128800902_n.jpg
 
#atoto kumbe na ww umegoma kusombwa na mafuriko,hongera kwa kufikiri kwa kutumia kichwa chako

Sikurupuki tuu ili niiuze nchi yangu bila kufikiria, Tanzania inahitaji mabadiliko halisi na ni Maghufuli pekee wa kuyaleta mabadiliko hayo, sijawahi kupiga kura ila mwaka huu saa11 hasubuhi nawahi kumsindikiza Maghufuli ikulu.
 
Pesa kitu kingine,kubenea amesifika kwa kutokuwa mwoga katika kuandika habari za ufisadi Wa lowasa na wengineo Leo baada ya chadema kumpa ridhaa ya ubunge Leo ajenda ya ufisadi kwenye mawio na mwanahalisi online haipo tena.pesa hizi jamani....!
 
Katika hali isiyo ya kawaida wapambe wanaofanya kazi za katika kampeni na lowasaa wameanza kulalamika baada ya mirija ya fedha walizokuwa wakipewa kuanza kupungua...vijana hao hasa...wakiwemo waandishi wamesikika wakilalamika kutopata fedha kwa wakati, na katika kujinasua na kuaibika Lowassa ameanza mipango ya kutafuta kutoka outside source...

Hii sasa hatari

Utarudia kufungua thread hii mpaka uchoke. Ndio maana hata figures za budget zinarudiwa kila mara. Uongo uongo tu!!!
 
CCM tumieni sana mlizowabia wananchi iwasaidie,kuna tetesi kuwa mafuta yanaingia nchini bila kodi ili mpige hela kama kawa.Time is coming
 
Back
Top Bottom