Naukumbuka ule wa kuruka vichwa vya habari zilizopewa kipaumbele, akawa anasoma zile ambazo hazikuwa za kiaumbele !!kuna mtangazaji mmoja TBC aliwahi kusoma magazeti asubuhi kwa.weledi mkubwa sana aisee
Waandishi wetu wajifunze kufanya kazi kwa weledi. Kuhongwa hongwa kunawafanya wakumbatie mafisadi