MUALIKO: The JF 'Rock City Wing'

aisee mwezi wa saba nahisi nitakuja pande hizo kuwatembelea Rock City nimezimiss samaki zilizoenda vidato.
 
Last edited by a moderator:
Napa miss sana home Mwanza since Jan, 2009. Natumai soon nitakuja.
 
Asanteni tumewapata na tutahudhuria Kama kutatokea mabadilko tujulishane mapema
 
Napa miss sana home Mwanza since Jan, 2009. Natumai soon nitakuja.
+255 ujapo Mwanza chonde tutafutane, tuwe wamoja, karibu sana.
 
Last edited by a moderator:
charminglady... ntakuja lakini namba utoe tangazo kwenye majukwaa yote plz... hasa mmu jf doctor... jukwaa la siasa na business
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…