MUALIKO: JF Rock City Wing

Mh, usalama wetu ukoje? Au hatutajitambulisha Id zetu? Maana TISS wanawafuatilia sana wana Jf sasa hivi?.....

Acha uoga wewe!.....wataka mambo halafu huyawezi!
 
Wazo zuri la kuwa na jumuiya!....US wameendelea kwa sababu ya umoja! Hongereni
 
Habarini za jumapili,

Kikao cha pili cha JF Rock City wing ndio kinaanza sasa....

Karibuni woooote!!!!!
 
Wadau wa JF Rock City Wing wahini eneo husika kwa maendeleo yenu.

Mpaka sasa waliofika ni wachache, fikeni mapema ili muwahi kwenye mambo mengine.

Mimi Arushaone ndiye mlezi wa JF ROCK CITY WING.
 
Last edited by a moderator:
Wadau wa JF Rock City Wing wahini eneo husika kwa maendeleo yenu.

Mpaka sasa waliofika ni wachache, fikeni mapema ili muwahi kwenye mambo mengine.

Mimi Arushaone ndiye mlezi wa JF ROCK CITY WING.

Asante sana mlezi wetu!
 
Last edited by a moderator:
Wadau wa JF Rock City Wing wahini eneo husika kwa maendeleo yenu.

Mpaka sasa waliofika ni wachache, fikeni mapema ili muwahi kwenye mambo mengine.

Mimi Arushaone ndiye mlezi wa JF ROCK CITY WING.

mkuu, imenibidi nijikaze walau ni log in niweze kutoa taarifa. Nilipenda sana na nilikua nimepania nisikosekane kikao cha leo bt am real very pain kutokuwepo. Ninaumwa na nimeugulia mkoa wa jirani (musoma) ikabidi nilazwe. Ila ntaomba unifikishie zangu salamu kwa watakao hudhuria na nitaomba kupewa updates japo hata kwa PM. My smile to Charminglady, Elizabet, C6 et al.
 
Last edited by a moderator:

Pole sana mkuu Mwenyezi Mungu akuponye, kikao ndio kimeisha sasa.

Karibu kikao kijacho!
 
Wadau wa JF Rock City Wing wahini eneo husika kwa maendeleo yenu.

Mpaka sasa waliofika ni wachache, fikeni mapema ili muwahi kwenye mambo mengine.

Mimi Arushaone ndiye mlezi wa JF ROCK CITY WING.

acha kujipachika cheo si champ.
Sos mlimani ochestra
 
Last edited by a moderator:
it was my pleasure to be there n hope that next time iwill be there again n again
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…