MUALIKO: JF Rock City Wing

Hajacomfuse isipokuwa amekuuliza watu8 upo?

Tutakaribia mwenyekiti

Hahahah sasa jamani mimi hicho kiinglish kimenitoa knock out...nimebaki kutumbua majicho tu
Sijui nilipaswa kujibu "nileho nkoi" au "nileho"??
 
Reactions: ram
Ungemjibu nalehoi nkoi, chezea kisukuma weye
Karibu mwanza ujifunze kisukuma nkoi

Hahahah sasa jamani mimi hicho kiinglish kimenitoa knock out...nimebaki kutumbua majicho tu
Sijui nilipaswa kujibu "nileho nkoi" au "nileho"??
 
Asante ram, bila shaka kwa mwaliko wako basi Mwanza nitajongea

Ungemjibu nalehoi nkoi, chezea kisukuma weye
Karibu mwanza ujifunze kisukuma nkoi
 
Last edited by a moderator:
Ungemjibu nalehoi nkoi, chezea kisukuma weye
Karibu mwanza ujifunze kisukuma nkoi

Hahahah sasa jamani mimi hicho kiinglish kimenitoa knock out...nimebaki kutumbua majicho tu
Sijui nilipaswa kujibu "nileho nkoi" au "nileho"??
 
Ahsante kwa mualiko ila nina dukuduku la kujua yafuatayo:


  1. Nini malengo ya kukutana?
  2. Agenda za msingi katika mkutano huo ni zipi?
  3. Ripoti ya kikao kilichopita haikuwa na maelezo ya kutosha kutushawishi kujumuika kwny kikao hiki, mmejipangaje?

Mkuu,kwanza kabisa napenda kutumia nafasi hii kuku pongeza kwa maswali yako mazuri na yenye changa moto.

Kutokana na maswali yako,kiukweli kabisa,itapendeza ukifika kikaoni ili upate kujibiwa.

NATUMAI UMENIPATA HAPO NDUGU YANGU,KARIBU SAANA.
 
Ahsante kwa mualiko ila nina dukuduku la kujua yafuatayo:


  1. Nini malengo ya kukutana?
  2. Agenda za msingi katika mkutano huo ni zipi?
  3. Ripoti ya kikao kilichopita haikuwa na maelezo ya kutosha kutushawishi kujumuika kwny kikao hiki, mmejipangaje?

Naomba niongezee majibu ya nyongeza kama alivyotanguliza mkuu Home First kwenye post # 26.

Mkuu Kisusi Mohammed
1. Kabla ya kufikia hatua hii ya mualiko wa wadau kwenye kikao hiki cha pili...awali kabisa tulianza na wazo la kuwepo kwa 'wing' yetu na bandiko lilikuwepo hapa jamvini, na baada ya wazo hili ndipo tukawa na kikao chetu cha kwanza kabisa kama wing. Mengi tuliyoyajadili, yatabaki kuwa ni haki za members wa wing yetu na si busara kuanika jukwaani kwa kile tulichojadili zaidi ya kukuomba nawe ujumuike katika wing yetu hii nasi kupata mitazamo/maono yako.

2. Zipo ajenda ambazo sisi kama wing tunajadili kuziona kama zitatufaa zaidi, kutudumisha na hata kutunufaisha kama 'wing'. Ajenda hizo hutokana na members wenyewe kushirikishana kwa oppenness zaidi, hatuna wamiliki wa wing ya JF Rock City zaidi ya members wenyewe.

3. Minutes za kikao kilichokwisha zipo, na zitagawiwa tena kwa members kabla ya kuanza kwa kikao cha pili mwishoni mwa wiki hii.


NB:
Ni vema ukatambua kuwa, kwa yote tunayofanya kama wing yatabaki kuwa ni haki za wing yetu. Ku-expose tunayokusudia kufanya kama wing na kuyabandika hapa jukwaani...inaweza kupelekea wings zingine kutekeleza yale tunayoyakusudia kufanya.

Karibu sana JF Rock City wing.
 
Last edited by a moderator:
Kutumia I'd za jamiiforums mmh,bora mtumie majina mengine sbb hautamjua yeyote,I'd imekaa vibaya sbb ukishamjua I'd yake ni rahisi kumfutilia na kujua jina lake halisi,ila nikija na jina langu halisi utoweza kujua I'd yangu milele
 
Kutumia I'd za jamiiforums
mmh,bora mtumie majina mengine sbb hautamjua yeyote,I'd imekaa vibaya
sbb ukishamjua I'd yake ni rahisi kumfutilia na kujua jina lake
halisi,ila nikija na jina langu halisi utoweza kujua I'd yangu
milele

duh apo Tiss wamejaa lazma mfanywe ya ulmboka hii nchi espcly kuelekea uchaguz usmwamin ata anayewaita inawezekana TISS UsaLAMA WA TAIFA WANAMTUMIA
 
Last edited by a moderator:
Ahsante Home First, ntakuja kikaoni ili nipate majibu.

 
Bwana Rock City nimekusoma, ila nadhani kama haya mambo ni siri basi itafika wakati hatutatumia hata hili jukwaa kufanya mipango ya kualikana na kupeana taarifa kuhusu hiyo wing yetu, kuweka wazi tuyafanyayo na kuigwa na wings nyinginezo sioni kama ni tatizo endapo tu mambo hayo ni kwa manufaa ya jamii na hayaendi kinyume na sheria za nchi yetu! Ntakuja tuzungumze kwa kina hiyo tarehe iliyopangwa!

 

Karibu sana mkuu, michango yako na maangalizo yako ni muhimu sana katika ustawi wetu.
Nasi tutathamini yote katika hili.

Karibu sana.
 

asante sana nitajitahidi kujumuika
 
Jaman kikao chema mashemeji na mawifi zangu.
CC: Mwenyekiti wa muda charminglady
 
Last edited by a moderator:
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…