CharmingLady
JF-Expert Member
- Apr 16, 2012
- 18,304
- 12,999
mapolomoko naondoka kesho nakwendazangu Biharamlo, msisahau kuliandika jinalangu.nawatakia kikao chema. watu8, uleho nkoi
Mh, usalama wetu ukoje? Au hatutajitambulisha Id zetu? Maana TISS wanawafuatilia sana wana Jf sasa hivi?.....
hv kwa mfano niseme mimi ni Jasson Bourne unategemea nini hapo.??
Shukrani nimekaribia, kwa sala na dua zenu nimefika salama. Na jana nilipata kuzuru eneo la kikao.
Nitafanya hima....!Ok... good natumai.jumapili hutokosa¡¡¡¡
Nitafanya hima, mkuu....!Ok... good natumai.jumapili hutokosa¡¡¡¡
hv kwa mfano niseme mimi ni Jasson Bourne unategemea nini hapo.??
mapolomoko naondoka kesho nakwendazangu Biharamlo, msisahau kuliandika jinalangu.nawatakia kikao chema. watu8, uleho nkoi
Mkuu hapo mwisho mwisho mbona kama umekonfyuzi