mizambwa
JF-Expert Member
- Oct 8, 2008
- 4,421
- 1,792
Wana Lindi na Mtwara wameshashtuka kuwa walikuwa wanachezewa na wanasiasa wa upinzani chini ya chama cha CUF. Kwa sasa wamerudi na wanafanya kazi kwa bidii wakisaidiwa na serikali yao tukufu ya CCM. Wapinzani safari hii hawana chao
Mimi kwa asilimia fulani nakubaliana na wewe kwa sababu mbinu mliyoitumia CCM ni kubwa ya kuweka mapingamizi yasiyo na ukweli ili mpite bla kupingwa.
Pia asilimia kubwa ya wananchi hawapo katika maeneo waliyojiandikisha kupiga kura kipindi kilichopita hivyo weni watashindwa kupiga kura.
Pia mbinu za wizi wa kura CCM ni mabingwa kama wanavyofanya UFISADI.
MIZAMBWA
INANIUMA SANA!!!