Mtwara - Matukio na Matokeo ya Uchaguzi Mkuu 2015 kama yanavyotujia

Majimbo yaliyochukuliwa na ukawa mpaka sasa hivi

mtwara region
1. Mtwara mjini (cuf)
2. Ndanda (cdm)
3. Tandahimba (cuf)
4. Mtwara vijijini (cuf)
5. Newala mjini (cuf)

lindi region

1. Nachingwea
2. Liwale

haya matokeo ni sahihi?
 
Majimbo yaliyochukuliwa na ukawa mpaka sasa hivi

mtwara region
1. Mtwara mjini (cuf)
2. Ndanda (cdm)
3. Tandahimba (cuf)
4. Mtwara vijijini (cuf)
5. Newala mjini (cuf)

lindi region

1. Nachingwea
2. Liwale

kama matokeo haya yana ukweli basi nafsi yangu imetulia tuliiiii
 
Mkuu lawama hazistahili maana dsm ndio imejaa wasomi lkn angalia ccm inavyo kumbatiwa

Eti dar inawasomi wengi na wanaikumbatia ccm wewe vipi kama ninanufaika na ccm iweje niichukie wakati na kula bila jasho
 
Ktk hali ya kutatanisha wakaazi wa newala imebidi jujifungia majumbani baada ya polisi kuanza kufyatua mabomu mfululizo ktk kinacho onekana kutaka kuokoa jahazi la mkuchika kwani tangu jana wapinzani walishaanza kusherehekea ushindi wa jimbo la newala
 
Ila Newala katangazwa Mh Mkuchika... Kama mshindi... Sasa wafuasi wa Ukawa hawakukubali matokeo hayo..
Dola imeanza kazi yake
 
Newala hali tete Wakuu mabomu kila sehemu na kuna vijana zaid ya 54 wanashikiliwa na polisi pia polisi na mgambo wapo kila Kona.
 
Ni baada ya kuangushwa na mpinzani wake kutoka CUF Juma Manguya, Kila kona imetapakaa askari wakati hakuna vurugu zozote.

Tayari katika kata 16 za wilaya hii UKAWA wamechukua 11 CCM 5 Dalili zote zinaonesha kuwa kuna mpango wa kuchakachua matokeo na kumpatia ndg
G.Mkuchika ambaye amezidiwa na mpinzani wake kwa kura 2700.

Muda wa saa 6 kijana mmoja alishushiwa kipigo kizito na wananchi baada ya kukutwa na kura za Ndg G.Mkuchika ambazo alikuwa anajaribu kuingia nazo
kwenye Jengo hilo la Halmashauri.

Hali si shwari waungwana hakuna uhura na haki huku.
 
Jamani mwaka huu..
Hata mawaziri waandamizi wanaangukia pua..
Kweli tutaona mengi safari hii...
I understand now..kumbe all those time the were living in their own world made of Ivory towers
and walking on egg shells.
Poleni mawaziri...
 
Back
Top Bottom