Tayana-wog
JF-Expert Member
- Feb 26, 2012
- 23,167
- 26,687
hata Askofu kakobe alitishia umeme wa nguzo za Tanesco atauzuia kupita kwa maombi kanisani kwani lakini bado ukapita
Kwahiyo?
hata Askofu kakobe alitishia umeme wa nguzo za Tanesco atauzuia kupita kwa maombi kanisani kwani lakini bado ukapita
Hu bibi chizi tu hawezi kuzuia gas, mi siamini ktk uchawi na ushirikina.
Mkuu Chasoda, hata kama hili tukio ni la kweli, I doubt kama huyo mtu ni wa usalama kweli, kwa sababu "modus oparandi" ya usalama sio hiyo!. Ofisa hawezi kutoka Dar straight kwa kibibi hicho!, Wana usalama huwa kwanza wana "exhaust local remedies" kwa kuwatumia locals na kama hakuna, huwa wana "recruit" ndipo wamuingie huyo bibi.Habari za uhakika nilizozipata sasa iv toka msimbati zinasema kuwa kuna gari ya afisa usalama wa taifa mmoja toka dar linapondwa kwa mawe na wananchi wenye hasira. Afisa usalama huyo inadaiwa ametumwa na viongozi wa juu wa serkali ili aje amshawishi bibi mmoja anaedaiwa kuwa na uwezo wa kuizuia gesi istoke kwenda dar kwa njia ya bomba.bb huyo inasemekana ndio mwenye kijiji hicho alishasema wazi kuwa gesi HATOKI mtwara kauli iliyowafanya hata viongozi kupata wasiwasi ivo kumtuma mtu huyo ili amshawishi gas itoke .wakati akiongea na bb huyo aliwaita wajukuu zake ili wamsikilize.NDIPO Vurugu kubwa ikaibuka na mwanausalama akatimua mbio na kuliacha gari yake maana watu walikuwa wengi. Na habari zilizonifikia sasa ni kwamba gari hiyo imechomwa moto.
Nchi hii kuna watu wanaamini kiasi hiki ushirikina?
Lazima awe na undugu na Kibibi Gula wa "Usiku wa Manane" akilindwa na kina mzee Ole.
muulize daktari wa meno ramadhani ing'ondu kama alitumia local remedies kumteka uliMkuu Chasoda, hata kama hili tukio ni la kweli, I doubt kama huyo mtu ni wa usalama kweli, kwa sababu "modus oparandi" ya usalama sio hiyo!. Ofisa hawezi kutoka Dar straight kwa kibibi hicho!, Wana usalama huwa kwanza wana "exhaust local remedies" kwa kuwatumia locals na kama hakuna, huwa wana "recruit" ndipo wamuingie huyo bibi.
Nimesema hivi kupitia uzoefu wangu enzi nikiwa "mjeda" pale "Airwing chini ya IO".
Pasco.
Hizo ni salamu za Wanamtwara kwa Dr Dhaifu, kwamba hata yeye asijione yupo salama, asishangae siku anakuja mtwara msafara wake unapigwa mawe.
Kinachotakiwa hapa ni kutekeleza madai yetu ya msingi kama tulivyoyaeleza, kinyume na hapo ajiandae kuliingiza taifa ktk machafuko makubwa kama Syria.
Hakya Mungu kwa hili hatutanii tuko tayari kwa mapamnbano kuliko mnavyozani.