Mtumizi ya Tissue Bar

CAMARADERIE

JF-Expert Member
Mar 3, 2011
4,419
1,920
Miaka ya karibuni tumeona akina mama wakija kaunta kuchukua tissues na kuzama nazo maliwatoni.........hivi zamani ilikuwaje wakati tissues hazikuwepo?...sitaki kujua mnazitumia kufanya nini

NB: Mimi mtu wa kaunta miaka mingi sana
 
Tabia chafu sana!
Zile napkins ni za kazi maalum pale counter na si mtu achukue kwenda nazo kumwona EVA huko banda la nyuma!
Ukiona mwanamke anafanya hivyo ujue kakokotwa Bar na mtu kwa mtindo wa Vodafasta, hakuwa na mpango wa mtoko!
Wanawake niwajuao mimi wanakuwa full makitu kule kwenye begi zao kubwa ka gunia!
 
Zamani walikuwa wanatumia maji,siku hizi wanatumia tissue kwa sababu wengine wanavaa vinguo vinabana wakitumia maji wanapata fangasi,wengine wanatumia kwa sababu ya mkumbo kuonekana kama anaenda na wakati.
 
Sasa kwa nini zisiwekwe hukohuko eneo latukio badala ya kaunta? KAUNTA NI MAHALA MAALUM KWA WATU MAALUM BANA.....sio mahala pa vitu ya mukojo....Halafu akina mama bila aibu wanapamia kaunta

Au ndio haya?

complaint_department_toilet_paper.JPG
 
Maumbile ya wanawake na wanaume ni tofauti.... aendapo msalani tissue ni muhimu saana. Ila tu hao wanaoenda Counter wanatuchafulia image, ndio maana mikoba yetu ni mikubwa for kweli kabisa a lady hatakiwi akose tissue kwenye mkoba wake. IMO Kuenda counter kuchukua hizo napkin ni kujichora saana. Ndio maana katika bar hizi zenye hadhi kubwa huwezi kosa tissue msalani.... Hizi zenye hadhi ndogo huna hata haja ya kuweka, dada wa kwanza tu akija na kuona ipo pale anaibeba na kuweka kwenye mkoba wake.
 
Ni kutokuelewa tu hizo tishu wala hazisafishi itakiwavo hasa hasa wanabaki na uchafu wao,

Maji ndio mambo yote then waweza tumia tishu kufutia yale maji ulojisafishia tena sio zile za bar za kufutia glass N.K bali ni toileti pepa au kuna tishu maalum zinakua na unyevu unyevu flan na ziko softi.
 
Dah, tuko tofauti sana katika suala la afya kwa ujumla. Me binafsi miaka ya tisini hivi nilikuwa nasumbuliwa sana na fungal infection kila mwezi nipo hosp au pharmacy yan mwili naona ulikuwa chronic na madawa hasa antifungal.... Ila siku moja nilikutana na mama mmoja daktari nikamweleza tatizo langu , swali la kwanza kuniuliza aliniuliza huwa unatumia tissue paper au toilet paper? nikamjibu ndio na huwa hazikosi kwenye mkoba ama wallet yangu, akanambia hiyo ndo chanzo kikubwa na fungal make zile tiisue paper na toilet paper material waliotengenezea ni za kupuputika ndo maana huponi hata kama ukitumia dawa ugonjwa unarudi baaa ya muda. Alichonishauri ni kutumia kitambaa safi tena cheupe kujikaushia ambacho kitakuwa kinafuliwa kaka unavyofua nguo yako ya ndani kila siku na kupasi kila unapopasi nguo za kuvaa asubuhi ana wakati wowote tena unatenga hata vitambaa vitano safi kwa ajili hiyo hapo ndo ulikuwa mwisho wa fungal infection kwangu. mpka leo cjui wala cjawahi kusikia muwasho kunako bibi wala UTI....

My take: Tissue paper au toilet paper co nzuri kujikaushia kunako bibi!!!!!!!
 
Kuna wengine wanakuja hata mara kumi kaunta......sijui wana uharo wa mkojo
 
Miaka ya karibuni tumeona akina mama wakija kaunta kuchukua tissues na kuzama nazo maliwatoni.........hivi zamani ilikuwaje wakati tissues hazikuwepo?...sitaki kujua mnazitumia kufanya nini

NB: Mimi mtu wa kaunta miaka mingi sana

Zamani walikuwa wanatembea na magunzi au magazeti kwenye mikoba yao
 
maumbile ya wanawake na wanaume ni tofauti.... Aendapo msalani tissue ni muhimu saana. Ila tu hao wanaoenda counter wanatuchafulia image, ndio maana mikoba yetu ni mikubwa for kweli kabisa a lady hatakiwi akose tissue kwenye mkoba wake. Imo kuenda counter kuchukua hizo napkin ni kujichora saana. Ndio maana katika bar hizi zenye hadhi kubwa huwezi kosa tissue msalani.... hizi zenye hadhi ndogo huna hata haja ya kuweka, dada wa kwanza tu akija na kuona ipo pale anaibeba na kuweka kwenye mkoba wake.

mpwa unaua sasa...
 
Tabia chafu sana!
Zile napkins ni za kazi maalum pale counter na si mtu achukue kwenda nazo kumwona EVA huko banda la nyuma!
Ukiona mwanamke anafanya hivyo ujue kakokotwa Bar na mtu kwa mtindo wa Vodafasta, hakuwa na mpango wa mtoko!
Wanawake niwajuao mimi wanakuwa full makitu kule kwenye begi zao kubwa ka gunia!

Hahahaha mkubwa hapa umeniacha hoi bia za ofa nazo zinawaumiza sana wanawake
 
Huwa nacheka pale akaunta mwanamke anapowakoromea kwa kummalizia tishu zake
 
wanaenda kutawadhia...... maana vyombo vya vyoo vya uma au vinavyotumiwa na watu wengi haviaminiki usafi wake...... hivyo heri kutumia tissue kuliko kwenda kuzoa yakuzoleka...
 
Back
Top Bottom