Mtumizi ya Tissue Bar

wanaenda kutawadhia...... maana vyombo vya vyoo vya uma au vinavyotumiwa na watu wengi haviaminiki usafi wake...... hivyo heri kutumia tissue kuliko kwenda kuzoa yakuzoleka...

Umewahi tawazia gunzi?
 
Maumbile ya wanawake na wanaume ni tofauti.... aendapo msalani tissue ni muhimu saana. Ila tu hao wanaoenda Counter wanatuchafulia image, ndio maana mikoba yetu ni mikubwa for kweli kabisa a lady hatakiwi akose tissue kwenye mkoba wake. IMO Kuenda counter kuchukua hizo napkin ni kujichora saana. Ndio maana katika bar hizi zenye hadhi kubwa huwezi kosa tissue msalani.... Hizi zenye hadhi ndogo huna hata haja ya kuweka, dada wa kwanza tu akija na kuona ipo pale anaibeba na kuweka kwenye mkoba wake.

Hapa ndio hua nachoka na wabongo, yaani ustaarabu ni 0%

Kiongozi watu wanaiba mpaka tuspiki bar

Hahaaa umenikumbusha mbali sana mkuu, wakati nipo Azania Sec School tulikua na tabia tukienda kula kwa mama Ntilie tunahakikisha tunaondoka na Sukari yote kwenye vibakuli
 
Kiongozi watu wanaiba mpaka tuspiki bar

Chupa na glass ndo usiseme wanadada wanasunda kwenye mikoba
Unamtembelea mtu unakuta nyumbani kwake ana glass za Serengeti, Opener ya Safari lager unajiuliza huyu mama anafanya kazi TBL au SBL? kumbe akinywa mhudumu akizubaa anasunda kwenye mkoba na kuondoka navyo wengine mpaka vijiko
 
Watakuwa wanasumbuliwa na ugonjwa huu?........Kleptomania (Psychiatry)-a strong impulse to steal, esp when there is no obvious motivation
 
wanaenda kutawadhia...... maana vyombo vya vyoo vya uma au vinavyotumiwa na watu wengi haviaminiki usafi wake...... hivyo heri kutumia tissue kuliko kwenda kuzoa yakuzoleka...

kweli kabisa huwa wanaenda kutawazia kipindi cha nyuma kulikuwa hakuna tishu soo walikuwa wanakausha tu au wanatembea na toilet paper aka TP..

ndetichia like this
 
Back
Top Bottom