ndege JOHN
JF-Expert Member
- Aug 5, 2015
- 19,579
- 44,826
Kwa nchi yetu hakuna mambo ya moto kwa mtumishi kucheza nayo kama hayo niliyoyataja.Yaani fanya yote lewa,fanya umalaya,chezea muda wa kazi,kuwa na nidhamu mbovu hayo yote utaweza kuchukuliwa Poa wakakuacha.
Ila aisee usije kujaribu kuipinga serikali kwenye kampeni zake kwa mfano chanjo ya corona,Nko na usije kuthubutu kuchezea mwenge au kuupinga na kuu dharau aisee hapo usimpe mtu lawama lazima wakukule kichwa otherwise uwe na nguvu za ziada.