Mtumishi wa umma atakayekwenda kusomea 'first degree' sasa kuchukua likizo isiyo na malipo

Watu waliosoma arts watanufaika kidogo ukilinganisha na wanaofanya kazi za sayansi maana ni rahisi kusoma open university masomo ya arts lakini mfano kwa afya,hakuna hata kozi zao pale open!Hata ile ya Health system management ambayo ingewezekana kusoma open,haipo pale.Any ways,kila kitu kina sababu zake,kwa wengine tunaamini Mungu anatupima imani,maana tunapaswa kuwa na shukrani kwa mambo yote na kumwomba Mungu atupe uwezo wa kujisomesha na kusomesha wengine.Yote yawezekana kwa imani

Sent from my BlackBerry 9220 using JamiiForums
 
Kwa tulioisikia hotuba ya rais pake mahakamani walipokuwa akiongea kwenye wiki ya mahakama, kwenye alisema" idara ya mahakama haifanyi vizuri sababu watu wanaajili ndugu zao wakiwa kidato cha nne halafu wanaanza kumsomesha akiwa kazini na kuacha vinana wenye degree zao wakiranda mitaani". MAGUFURI
 
Back
Top Bottom