Nakadori
JF-Expert Member
- Sep 21, 2011
- 8,781
- 20,952
Mtumishi wa shirika la umeme (TANESCO), anayefahamika kwa jina la Yahaya Abdul, mkazi wa Manispaa ya Mpanda mkoa wa Katavi, amekutwa amefariki dunia katika nyumba ya kulala wageni alikoenda kujipumzisha na rafiki yake wa kike.
Chanzo cha habari ni EastAfricaTV
Chanzo cha habari ni EastAfricaTV