Mtumishi wa TANESCO afia gesti huko Mpanda

Dug RIP Legend , inanikum,busha yule mdingi wa miaka 80 alizima umeme kule Mbezi Beach katika Hoteli
 
Sasa kama hadi mtu analia kwa hisia anazopata kifuatacho ni nini kama sio kupitiliza siku nyingine ...kwani huwa hamlii?
Sema wengine (akina Naka) wanaliaga kuongeza invoice tu..!! Akina siye kuunguruma kama simba na kukakamaa kwa kunyosha miguu kama unakata roho
 
Back
Top Bottom