Mtumishi wa TANESCO afia gesti huko Mpanda

Nakadori

JF-Expert Member
Sep 21, 2011
8,781
20,945
Mtumishi wa shirika la umeme (TANESCO), anayefahamika kwa jina la Yahaya Abdul, mkazi wa Manispaa ya Mpanda mkoa wa Katavi, amekutwa amefariki dunia katika nyumba ya kulala wageni alikoenda kujipumzisha na rafiki yake wa kike.

Chanzo cha habari ni EastAfricaTV

FB_IMG_1656682438928.jpg
 
Back
Top Bottom