Mtume Mwamposa, tafadhali fuata Ushauri uliopewa na Madaktari huku Kupenda Kwako Sadaka kunaweza Kukulaza mazima

Ni kweli naunga mkono hoja haiwezekani juma tatu mpaka jumapili unahudumia watu utakufa mapema sana hata nabii Musa alishauriwa na mkwewe kupumzika maana hata Musa alikuwa kama mwamposa
Kupumzika kunaleta afya
Leo najua Kanisani Kwake katika Ibada yake ya Jumanne ataniongelea mno Mightier na huu Uzi wangu.

Kazi ipo....!!
 
Wajinga waliwao....

Acha mpigwe hizo sadaka tu.....

Mtakuja shtuka badaye....

Ova
Hawa watakuwa wafanya biashara na Wana mikopo kwenye mabenki ya kurejesha kila mwezi maana kuwa na kampuni ya kutengeneza maji na mafuta ya upako si mchezo lazima wawe na marejesho ya maana kila mwezi. Inabidi akomae abuni sadaka za aina mbalimbali kwa ajiri ya marejesho.
 
Kila mtu atakufa, hata ukipumzika kama pono...

Maamposa endelea kupiga pesa, ukifa wewe wanao watarithi...
 
Anywe maji ya vuguvugu.

images (40).jpeg
 
Kwahiyo Wewe una Akili na Utaalam kuliko hao Madaktari Bingwa waliomshauri hivyo?
Sijasema hivyo Ila mtu anaefanya kazi ndo anaejijua Kuwa kachoka hivyo aamue kuwa apumzike au laah sasa wewe utamlazimishaje
 
HUYU MSHENZI KABISA MPK SASA NAHANGAIKA KATAKA KUNIULIA MAMA YANGU KWA KUMUHADAA ANAWEZA ,KUPONA PREASURE NA KISUKARI BI MKUBWA KAMPA 500 K KAMUOMBEA ,KILICHOTEKA NDIO KAMA KAANZA UPYA KUUGUA ,MARA ROHO YA MAUTI IMSHIKE ...,INAMUACHIA MAUZA UZA TU ...NAAMINI KAMPANDIKIZIA MAPEPO YA ROHO ZA MAUTI ,ILA MM NASEMA MUNGU WA KWELI ATAMLIPA HUYU MSHENZI

sent from HUAWEI
Acha chuki ww
 
Back
Top Bottom