Dogoli kinyamkela
JF-Expert Member
- Nov 21, 2024
- 2,960
- 5,300
Kama UKIMWI/HIV ni ya kuambukizwa kwa zinaa, ncha kali, mtu wa kwanza aliupataje?
Apo sasaMbu anamareya lakini haumwi y....?
We ulikwepokuna mtu alifanya mapenzi na nyani
Kwahyo nyani wenyewe hawazuliki na ukimwi aukuna mtu alifanya mapenzi na nyani
ni kama UTI tu kwaoKwahyo nyani wenyewe hawazuliki na ukimwi au
Unaanzaje kumdinya sokwe? Utapigwa mpaka useme yallaaaahWanasema Huo ugonjwa ulikuwa kwa mnyama sokwe. Je hakuna uwezekano wa binadamu kuingiliana na mnyama?
<tulivyufundishwa>KAMA UKIMWI/HIV NI YA KUAMBUKIZWA KWA ZINAA, NCHA KALI , MTU WA KWANZA ALIUPATAJE ?
Ule uzi wako bado upo mwl?<tulivyufundishwa>
Mtu wa kwanza hakupata UKIMWI kwa zinaa. Aliupata kutoka kwa mnyama.UKIMWI haukuanza kwa binadamu. Ulianza kwa sokwe / nyani.
Virusi Asili Ni Ya WanyamaKuna virusi vinavyoitwa SIV - Simian Immunodeficiency Virus.Ulianza kwa sokwe / nyani.
Kwahyo hawa sokwe wa sasa iv wanavyo ivo vurid
KAMA UKIMWI/HIV NI YA KUAMBUKIZWA KWA ZINAA, NCHA KALI , MTU WA KWANZA ALIUPATAJE ?
Kuna aina mbili:virusi vinavyoitwa SIV - Simian Immunodeficiency Virus.
Sooty Mangabey
Sokwe Mkubwa (Chimpanzee)
Karibu, Bado upoUle uzi wako bado upo mwl?