Mtu Pekee aliyekataa teuzi wakati wa Magufuli ni ndugu Maswanya

Nyani Ngabu

Platinum Member
May 15, 2006
89,981
2,000
Mara nyingi anapoingia rais mwingine watu wanakuwa na matumaini mapya hivyo suala la watu kufurahia ni lazima wafurahie.

Suala la mabadiliko inategemea sasa na rais mwenyewe atafanya nini kuleta hayo mabadiliko ya watu.

Mathalani miaka 10 ya mzee Kikwete ilikuwa na changamoto nyingi sana za serikali kushindwa kutoa huduma sawa sawa kwa wananchi japokuwa uchumi wa mwananchi mmoja mmoja ulikuwa ukiimarika.

Utawala wa Jiwe ulikuja kuzalisha changamoto mpya kwa watu kukosa ajira kwa kiwango kikubwa japo huduma zilianza kuimarika kidogo.

Nachokiona kitabadilika kwenye serikali hii ni lugha tu ya namna ya kuwasiliana na wananchi kutoka kwenye Amri kuja kwenye maombi tu
Point yako ya mwisho ni 💯%.
 
Upepo wa Pesa

JF-Expert Member
Aug 8, 2015
17,722
2,000
Mara ya mwisho kukutana na huyu mwamba ilikua 2017 mtaa wa Uhuru Mwanza.
Ofisi yake nakumbuka ilikua Almasi Tower Nyerere load ukouko Mwanza.
Mtu smart sana alafu muelewa,kwasasa sijui yuko wapi huyu kiumbe.
Isije kuwa alipotezwa na jiwe
 
KateMiddleton

JF-Expert Member
Mar 15, 2021
1,741
2,000
Kwa mujibu wa katibu mkuu kiongozi mpya, Bw. Hussein Katanga, hata yeye hakujua.

Akiwa anajiandaa kurudi zake Japan alikokuwa ni balozi wetu, aliambiwa aende Dodoma [naamini alikuwa yuko Dar kwa wakati huo].

Sasa akiwa uwanja wa ndege [again, nasadiki ni ule wa Dar] akisubiri kupanda ndege aende Dodoma, akaona kwenye runinga kuwa kateuliwa kuwa katibu mkuu kiongozi!

Bashiru yeye alijulia kwenye social media. Huyu kajulia kwa kuangalia runinga akiwa uwanja wa ndege.

Same M.O. as her predecessor.

Huyu hapa katibu mkuu kiongozi kwa maneno yake akielezea alivyojua kupitia runinga.

Anzia dakika ya 2:22 hadi 3:17.Personally I don’t dig that style. Kumteua mtu bila kufanya naye consultation sijui naonaje tu.

Jist doesn’t sit well with me.

I can’t hire someone without talking to them.

To me it’s seems to be the right thing to do to talk the person first and/or give them a heads up that you might pick them.

This could be one those ‘only in Tanzania’ things...

Sasa utaconsult wateule wako nchi nzima?

Bt still teuzi za Hayati ht km ingekuwa mimi ningekataa kimoyomoyo
Unakubali kwa hofu tu
Raha ilikuwa kipindi cha JK
 
KateMiddleton

JF-Expert Member
Mar 15, 2021
1,741
2,000
Ukiajiriwa, unatajiwa kazi zako. Halafu pana kipengele cha: na kazi zingine utakazopangiwa na mwajiri wako...

I guess uteuzi unaangukia kwenye kazi nyingine utakazopangiwa na mwajiri wako.... Doesn't it?
Applies kwa watumishi wa umma

hamna mtumishi wa umma mwenye jeuri ya kukataa uteuzi

private km huyu bwana wanaweza..japo nahisi hautakua salama
 
KateMiddleton

JF-Expert Member
Mar 15, 2021
1,741
2,000
Mara nyingi anapoingia rais mwingine watu wanakuwa na matumaini mapya hivyo suala la watu kufurahia ni lazima wafurahie.

Suala la mabadiliko inategemea sasa na rais mwenyewe atafanya nini kuleta hayo mabadiliko ya watu.

Mathalani miaka 10 ya mzee Kikwete ilikuwa na changamoto nyingi sana za serikali kushindwa kutoa huduma sawa sawa kwa wananchi japokuwa uchumi wa mwananchi mmoja mmoja ulikuwa ukiimarika.

Utawala wa Jiwe ulikuja kuzalisha changamoto mpya kwa watu kukosa ajira kwa kiwango kikubwa japo huduma zilianza kuimarika kidogo.

Nachokiona kitabadilika kwenye serikali hii ni lugha tu ya namna ya kuwasiliana na wananchi kutoka kwenye Amri kuja kwenye maombi tu
Hapo mwisho kweli
Mama ataponya taifa na personality yake
Roho zimetupoa kidogo
 
Finder

JF-Expert Member
Dec 7, 2016
287
500
Hata ningekuwa mm ningekataa, siwez acha kazi yangu ya maana niende kufanya kazi ambayo ukiharibu kidogo tu vyombo vya habari vyote vinakusakama na rais anakutumbua hadharani kama mtoto yatima vile.
 
Mlenge

R I P
Oct 31, 2006
2,131
2,000
There is an art of refusing / avoiding uteuzi...

Jamaa mjadiliwa hakutumia sanaa. Alikuwa blunt. He violated Law #22 of Greene's 48 Laws of Power. Probably some laws. He unnecessarily stuck his neck out, IMHO.
 
Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom