Mtu Pekee aliyekataa teuzi wakati wa Magufuli ni ndugu Maswanya

Nyani Ngabu

Platinum Member
May 15, 2006
89,981
2,000
Mimi naona kama wanaotegemea mabadiliko makubwa kutoka kwa huyu rais mpya wanaweza kupata mabadiliko cosmetic ya presentation lakini wakabaki kupewa u Magufuli uleule.

Samia Suluhu Hassan akiwa VP alishawaambia watu kwamba waichague au wasiichague CCM, itashinda tu.
Hata ukisikiliza ile hotuba ya makamu wa Rais Mpango bungeni baada ya jina lake kupendekezwa, ingawa hakusema wazi jinsi alivyojua kuwa yeye ndo kateuliwa, ana sound kama vile naye alikuwa taken by surprise. Kama vile hakuwa na heads up.

Weird!
 

GeoMex

JF-Expert Member
Jan 10, 2014
5,434
2,000
Very low, upewe wilaya kama Bahi au chemba kweli 😂😂😂 Hapo ujitahidi kutoa matamko ya kumfurahisha mukulu siku ukipigwa chini una maadui kila kona.

Ukuu wa wilaya ni heshima kama umepewa wilaya fulani fulani na katika uongozi fulani fulani, otherwise baki tu katika kazi ya awali.
Chemba sawa ila wilaya ya Bahi ni dili wewe sidhani kama unapajua. Pale ni mjini kabisa Dodoma na wanapewaga watu "muhimu" toka Shemeji wa taifa Betty Mkwasa alikua anakaa mjini kabisa kwa huduma muhimu kumuhudumia mwenyewe akiwepo na saivi yule mdada DC na ded mke wa Job
 

Kiranga

JF-Expert Member
Jan 29, 2009
58,419
2,000
Hata ukisikiliza ile hotuba ya makamu wa Rais Mpango bungeni baada ya jina lake kupendekezwa, ingawa hakusema wazi jinsi alivyojua kuwa yeye ndo kateuliwa, ana sound kama vile naye alikuwa taken by surprise. Kama vile hakuwa na heads up.

Weird!
Serikali inaendeshwa kwa kuviziana viziana mpaka kwenye kuteua watu.

Kama mtu alikuwa na mpango wa kustaafu acheze na wajukuu hapo unamuharibia mipango yake bila kumtaarifu.
 

Kijana wa hovyo hovyo

JF-Expert Member
Feb 4, 2021
5,558
2,000
Huyu na watu wa namna hiyo lazima alikuwa na baggage fulani ambayo hakutaka ijulikane. Tatizo lake ni kwamba aliupenda uDC ndipo akateuliwa, ila baada ya kuteuliwa akagundua kuwa ana mifupa kwenye kabati lake ambayo hataki ijulikane, na wakati huo akawa hawezi kuondoa jina lake kwenye uteuzi tena, ndipo akaamua kutohudhuria uapishwaji. Mtu kabla ya kuteuliwa, huwa unapewa taarifa kuwa mkuu anataka kukuteua kwenye nafasi fulani, je unaiweza. Mteuliwa mtumianiwa lazima akiri kuwa kweli anaweza kuimudu nafasi ie kabla uamuzi wa mwisho haujafanyika.

Sasa kama yeye alisema anaiweza nafasi ile, halafu siku ya mwisho ndipo miguu ikaganda, basi alikuwa na matatizo ambayo hatutayajua!!
Huenda kwa style ya teuzi za sasa hivi haifanyiki ivyo.. Viongozi wengi wamekuwa wakikili wamekuwa wakipewa suprise.. hata Mpango ilikuwa suprise.. Bashiru na wengine neo wengi
 

Kijana wa hovyo hovyo

JF-Expert Member
Feb 4, 2021
5,558
2,000
Very low, upewe wilaya kama Bahi au chemba kweli 😂😂😂 Hapo ujitahidi kutoa matamko ya kumfurahisha mukulu siku ukipigwa chini una maadui kila kona.

Ukuu wa wilaya ni heshima kama umepewa wilaya fulani fulani na katika uongozi fulani fulani, otherwise baki tu katika kazi ya awali.
Na kweli kuvunjiana heshima. Unapelekwa sehemu mbovu. Ukuu wa wila kama mwalimu huna chaguzi.. wanayo vurugu ya mamlaka katika eneo lake.. ila kutunbuliwa hapo ndio umeisha..
 

Mlenge

R I P
Oct 31, 2006
2,131
2,000
...

Jist doesn’t sit well with me.

I can’t hire someone without talking to them.

To me it’s seems to be the right thing to do to talk the person first and/or give them a heads up that you might pick them.

...

Ukiajiriwa, unatajiwa kazi zako. Halafu pana kipengele cha: na kazi zingine utakazopangiwa na mwajiri wako...

I guess uteuzi unaangukia kwenye kazi nyingine utakazopangiwa na mwajiri wako.... Doesn't it?
 

kivyako

JF-Expert Member
Feb 2, 2012
14,344
2,000
Fuatilia vizuri ujue kilichotokea Jiwe alihakikisha kafukuzwa kazi na kaanza kufuatiliwa na TRA kafilisika hana hata kumi kila kitu alibambikiwa Kodi kama zote za mabilioni, yule mtu mwovu alikuwa na visasi kuliko mbwa na alifika stage akaona kama ana nafasi ya umungu flani hivi acheni Mungu aitwe Mungu kwa kumchukua maana amenyanyasa wengi sana
Nilijua tu, jiwe kwa visasi asingeweza kumwacha hivi hivi, ila Mungu ni mwema aisii
 

Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom