cariha
JF-Expert Member
- Apr 9, 2015
- 22,077
- 46,324
Awamu ya mwendazake watu kibao wamekomelewa had wa level ya chini nawafahamu sembuse huyo wa tigoalafu usikute na wewe umemuamini huyo uliyemnukuu na umetoa hitimisho tayari..
Awamu ya mwendazake watu kibao wamekomelewa had wa level ya chini nawafahamu sembuse huyo wa tigoalafu usikute na wewe umemuamini huyo uliyemnukuu na umetoa hitimisho tayari..
Isije kuwa alipotezwa na jiweMara ya mwisho kukutana na huyu mwamba ilikua 2017 mtaa wa Uhuru Mwanza.
Ofisi yake nakumbuka ilikua Almasi Tower Nyerere load ukouko Mwanza.
Mtu smart sana alafu muelewa,kwasasa sijui yuko wapi huyu kiumbe.
Kwa mujibu wa katibu mkuu kiongozi mpya, Bw. Hussein Katanga, hata yeye hakujua.
Akiwa anajiandaa kurudi zake Japan alikokuwa ni balozi wetu, aliambiwa aende Dodoma [naamini alikuwa yuko Dar kwa wakati huo].
Sasa akiwa uwanja wa ndege [again, nasadiki ni ule wa Dar] akisubiri kupanda ndege aende Dodoma, akaona kwenye runinga kuwa kateuliwa kuwa katibu mkuu kiongozi!
Bashiru yeye alijulia kwenye social media. Huyu kajulia kwa kuangalia runinga akiwa uwanja wa ndege.
Same M.O. as her predecessor.
Huyu hapa katibu mkuu kiongozi kwa maneno yake akielezea alivyojua kupitia runinga.
Anzia dakika ya 2:22 hadi 3:17.
Personally I don’t dig that style. Kumteua mtu bila kufanya naye consultation sijui naonaje tu.
Jist doesn’t sit well with me.
I can’t hire someone without talking to them.
To me it’s seems to be the right thing to do to talk the person first and/or give them a heads up that you might pick them.
This could be one those ‘only in Tanzania’ things...
Applies kwa watumishi wa ummaUkiajiriwa, unatajiwa kazi zako. Halafu pana kipengele cha: na kazi zingine utakazopangiwa na mwajiri wako...
I guess uteuzi unaangukia kwenye kazi nyingine utakazopangiwa na mwajiri wako.... Doesn't it?
Hapo mwisho kweliMara nyingi anapoingia rais mwingine watu wanakuwa na matumaini mapya hivyo suala la watu kufurahia ni lazima wafurahie.
Suala la mabadiliko inategemea sasa na rais mwenyewe atafanya nini kuleta hayo mabadiliko ya watu.
Mathalani miaka 10 ya mzee Kikwete ilikuwa na changamoto nyingi sana za serikali kushindwa kutoa huduma sawa sawa kwa wananchi japokuwa uchumi wa mwananchi mmoja mmoja ulikuwa ukiimarika.
Utawala wa Jiwe ulikuja kuzalisha changamoto mpya kwa watu kukosa ajira kwa kiwango kikubwa japo huduma zilianza kuimarika kidogo.
Nachokiona kitabadilika kwenye serikali hii ni lugha tu ya namna ya kuwasiliana na wananchi kutoka kwenye Amri kuja kwenye maombi tu
Ndiyo!Sasa utaconsult wateule wako nchi nzima?
Bt still teuzi za Hayati ht km ingekuwa mimi ningekataa kimoyomoyo
Unakubali kwa hofu tu
Raha ilikuwa kipindi cha JK
Zimefika Mkuu..Yupo.Mungu ni Mwema.
So na Tigo alitolewa?
Msalimie sana bwana.
Kuna WANAUME WANA SAUTI HADI RAHA.
Huyu mmoja wapo.
Alikuwa mpumbavu aiseeeKwa mtu potential kazi ya UDC Ni ngazi nzuri ya kuonyesha viwango na kufikia ngazi za juu za uongozi wa nchi.