Mtu Pekee aliyekataa teuzi wakati wa Magufuli ni ndugu Maswanya

Katika Historia, ndugu Ally Masoud Maswanya ndio Mtu pekee alikataa Uteuzi wa Rais Magufuli.

Aliteuliwa kuwa Mkuu wa Wilaya lakini siku ya kwenda kuapa hakutokea. Walipompigia simu akaape, akasema yupo Ofisini anadeal na wateja wake.

Alikuwa Msimamizi wa Kampuni ya Tigo kanda ya Ziwa. Sijui sasa hivi yupo wapi na anafanya nini.

Pia Soma: Mkuu wa Wilaya Mteule wa Mbozi, Ally Masoud Maswanya ajiuzulu
Hawa ndiyo vijana wanaotakiwa badala ya wachumia tumbo
 
Katika Historia, ndugu Ally Masoud Maswanya ndio Mtu pekee alikataa Uteuzi wa Rais Magufuli.

Aliteuliwa kuwa Mkuu wa Wilaya lakini siku ya kwenda kuapa hakutokea. Walipompigia simu akaape, akasema yupo Ofisini anadeal na wateja wake.

Alikuwa Msimamizi wa Kampuni ya Tigo kanda ya Ziwa. Sijui sasa hivi yupo wapi na anafanya nini.

Pia Soma: Mkuu wa Wilaya Mteule wa Mbozi, Ally Masoud Maswanya ajiuzulu
Duuu huyu jamaa kweli ni shujaa
 
Mara ya mwisho nilimsikia huyu jamaa kwenye maandalizi ya tamasha la Wizkid Mwanza ilikuwa 2017 kama sikosei. Wakati huo alizumgumza kama mkurugenzi wa tigo kanda ya ziwa. Sijawahi kumsikia tena tangu hapo.

Yupo mkuu anaendelea na majukumu yake
 
Mkurugenzi wa Tigo yule m Spain aliambiwa usipomfukuza Kazi itaonekana unadharau Mamlaka ya Uteuzi ya Rais

'…Shauri yako utaletewa Special Audit ya Kodi ya tangu Mkiwa Mobitel mkawa Buzz na sasa Tigo…' alisikika Mkaliman akinitafsiria
Nilishahisi kuwa mwisho wake haukuwa mzuri
 
Katika Historia, ndugu Ally Masoud Maswanya ndio Mtu pekee alikataa Uteuzi wa Rais Magufuli.

Aliteuliwa kuwa Mkuu wa Wilaya lakini siku ya kwenda kuapa hakutokea. Walipompigia simu akaape, akasema yupo Ofisini anadeal na wateja wake.

Alikuwa Msimamizi wa Kampuni ya Tigo kanda ya Ziwa. Sijui sasa hivi yupo wapi na anafanya nini.

Pia Soma: Mkuu wa Wilaya Mteule wa Mbozi, Ally Masoud Maswanya ajiuzulu
Alifeli vetting dakika za mwisho
 
Huyu na watu wa namna hiyo lazima alikuwa na baggage fulani ambayo hakutaka ijulikane. Tatizo lake ni kwamba aliupenda uDC ndipo akateuliwa, ila baada ya kuteuliwa akagundua kuwa ana mifupa kwenye kabati lake ambayo hataki ijulikane, na wakati huo akawa hawezi kuondoa jina lake kwenye uteuzi tena, ndipo akaamua kutohudhuria uapishwaji. Mtu kabla ya kuteuliwa, huwa unapewa taarifa kuwa mkuu anataka kukuteua kwenye nafasi fulani, je unaiweza. Mteuliwa mtumianiwa lazima akiri kuwa kweli anaweza kuimudu nafasi ie kabla uamuzi wa mwisho haujafanyika.

Sasa kama yeye alisema anaiweza nafasi ile, halafu siku ya mwisho ndipo miguu ikaganda, basi alikuwa na matatizo ambayo hatutayajua!!
Umesema kweli, hata Mpango alikuwa anajua sema alijifanya hajui kuhadaa wananchi, kabla ya kutangazwa lazima wakufanyie vetting.
 
Back
Top Bottom