Mtu na dada yake wamejaliwa uzuri

Mtu na dada yake wamejaliwa uzuri

Haupo proper prepare....
😂😂😂😂😂 Umeanza gonga gonga nyagi unaona umekua 😂😂🙏🙏🙏
 
Mnavyojua tena wakuu, mimi huwa napenda vitu vizuri vizuri vyenye mng'ao mng'ao, na vinavyotamanisha kuliwa.

Kuna kipindi nilikuwa kwenye mahusiano, na mlimbwende mmoja na tulidumu kwenye mahusiano kwa muda wa miaka mitatu hivi; katika uhusiano wetu tulifanikiwa kupata mtoto, na kwa sasa naendelea kuhudumia katika matunzo.

Kwa bahati nzuri huyu mrembo, ana dada yake ambaye naye pia ni kifaa kweli kweli. Nikiwa kwenye mahusiano na mdogo wake, kuna muda tulikuwa tunatoka naye 'out' yeye, mdogo wake pamoja na mimi.

Imepita zaidi ya miezi sita bila kuwa na mawasiliano na huyu dada mtu; sasa leo mtoto wangu alipelekwa na mama yake aende kwa mama yake mkubwa ili acheze na mtoto wa hapo, kwa sababu sasa hivi shule zimefungwa.

Mimi sijui hili wala lile, leo nikapigiwa simu na namba ambayo siijui;baada ya kupokea, nasikia sauti ya mwanamke, nami nikawa namjibu tu kama namfahamu; ndipo akaniuliza unajua unaongea na nani, nikamjibu naomba unikumbushe; ndipo aliponiambia mimi ni fulani, nimemuona mtoto wako hapa nikakukumbuka.

Tuliongea naye kama dakika 25 hivi; kutokana na sauti yake nikivuta picha na umbo lake, akili ikaniambia nitafute siku angalau nichakate hii kitu.

Sasa wakuu, hapa nawaza; nikiichakata hii kitu haiwezi kunipa shida kwa malezi ya mtoto wangu?, Hasa pale akiwa mkubwa, na kujua nilitoka na mama yake mkubwa?
Kwahiyo kama unaona ni sawa basi chakata maana mlipa kulipwa
 
Chagua kufa ukiona waja hawalipi mema....... Kuwa huru. Usikalili fumbo 😂😂😂😂😂😂😂
Ni nchi gani yenye jamii ya kiafrika iliyopo jirani na Marekani, ambao watu wake wapo kwenye umasikini wakutupwa?
 
Ni nchi gani yenye jamii ya kiafrika iliyopo jirani na Marekani, ambao watu wake wapo kwenye umasikini wakutupwa?
🙏🙏😂😂😂😂😂 Mitihani hiyo haina majibu..
Palipo amani pana taifa nadhifu..
Huko patakuwa mexico
 
Back
Top Bottom