Mtu na dada yake wamejaliwa uzuri

Mtu na dada yake wamejaliwa uzuri

huona kama unajitayarishia matatizo mbeleni?siyo kila shimo unaingia mzee, hasa kwa hao ambao ni ndugu...acha heshima itawale
Unatafuta heshima ya nini mkuu, maisha haya ukifikisha maika 70 unamshukuru Mungu, hiyo heshima itasaidia nini?
 
Wakuu, wengi wetu ngono itatumaliza wallah. Kuna mahali nilipita jana, ndinga kali za kutosha zimepaki nje, huko ndani unajua kinachoendelea. Majira ya 6pm hadi 8pm kuku wanachomwa hatari.
 
Unatafuta heshima ya nini mkuu, maisha haya ukifikisha maika 70 unamshukuru Mungu, hiyo heshima itasaidia nini?
Kama heshima haisadii kitu, mkuu wewe fumua, na mama yake akikaa vibaya fumua hata ukirudi kwenu ukakuta dada zako fumua tuu
 
Mnavyojua tena wakuu, mimi huwa napenda vitu vizuri vizuri vyenye mng'ao mng'ao, na vinavyotamanisha kuliwa.

Kuna kipindi nilikuwa kwenye mahusiano, na mlimbwende mmoja na tulidumu kwenye mahusiano kwa muda wa miaka mitatu hivi; katika uhusiano wetu tulifanikiwa kupata mtoto, na kwa sasa naendelea kuhudumia katika matunzo.

Kwa bahati nzuri huyu mrembo, ana dada yake ambaye naye pia ni kifaa kweli kweli. Nikiwa kwenye mahusiano na mdogo wake, kuna muda tulikuwa tunatoka naye 'out' yeye, mdogo wake pamoja na mimi.

Imepita zaidi ya miezi sita bila kuwa na mawasiliano na huyu dada mtu; sasa leo mtoto wangu alipelekwa na mama yake aende kwa mama yake mkubwa ili acheze na mtoto wa hapo, kwa sababu sasa hivi shule zimefungwa.

Mimi sijui hili wala lile, leo nikapigiwa simu na namba ambayo siijui;baada ya kupokea, nasikia sauti ya mwanamke, nami nikawa namjibu tu kama namfahamu; ndipo akaniuliza unajua unaongea na nani, nikamjibu naomba unikumbushe; ndipo aliponiambia mimi ni fulani, nimemuona mtoto wako hapa nikakukumbuka.

Tuliongea naye kama dakika 25 hivi; kutokana na sauti yake nikivuta picha na umbo lake, akili ikaniambia nitafute siku angalau nichakate hii kitu.

Sasa wakuu, hapa nawaza; nikiichakata hii kitu haiwezi kunipa shida kwa malezi ya mtoto wangu?, Hasa pale akiwa mkubwa, na kujua nilitoka na mama yake mkubwa?
Wakati ukisubiria majibu Kwa wengine ebu angusha iyo namba yake hapa Ili Tuone kama yaliyomo yamo
 
Mtu anae mtamani Dada wa mzazi mwenzie hana mipaka hata kumla mwanae hatoshindwa, kwani wewe mwenyewe unaonaje tu sio kwa mwanao family? Muumba wako, wanawake wote waliopo ukamvunjie heshima mzazi mwenzio???!!! Unajua utaleta mtafarufuku kiasi gani.
 
Tukileta mada za kuchimba mafuta tuwauzie Marekani na Ulaya ili tuweze kupata fedha za kigeni, mnazikimbia; sasa tufanyeje?
🤓🤓😂😂😂😂😂😂😂😂😂 Bongo nyoso sana ila sasa skia asubuhi asubuhi kuwaza haya mambo mbona hatari sana aiseeee
 
Mtu anae mtamani Dada wa mzazi mwenzie hana mipaka hata kumla mwanae hatoshindwa, kwani wewe mwenyewe unaonaje tu sio kwa mwanao family? Muumba wako, wanawake wote waliopo ukamvunjie heshima mzazi mwenzio???!!! Unajua utaleta mtafarufuku kiasi gani.
Sipo nae karibu kwa sasa, kwa sasa ana maisha yake tu
 
Sipo nae karibu kwa sasa, kwa sasa ana maisha yake tu
Haijalishi madhali ulishazini nae mpaka ukamzalisha,nakuambia hauna haya wala mipaka,leo utatamani shem wako kisa kakuonesha uchangamfu utamla utaendelea hivyo hivyo utakula mpaka wako wababa wangapi wanatembea na watoto wao na watoto wa ndugu zao mtu unatakiwa Uwe na mipaka ya matamanio yako usiendeshwe na nyege wanawake wapo kibao.
 
Back
Top Bottom