PakiJinja
JF-Expert Member
- Jan 16, 2012
- 11,796
- 26,211
Nenda ukapigwe konziAnaongea kwa sauti ya kumtoa nyoka pangoni
Nenda ukapigwe konziAnaongea kwa sauti ya kumtoa nyoka pangoni
Hapa napambana kuandaa kabajeti kadogo, nitoke naye nje ya mji 😀😀Nenda ukapigwe konzi
Nione neema za Muumba.Picha unataka uifanyie nini 😀😀
Nahofia mkono wa kulia usijeukaumia kwa kufanyishwa kazi 😀 😀Nione neema za Muumba.
Ubinafsi utakuua mkuu🤣🤣🤣
Kawaida mkuuNahofia mkono wa kulia usijeukaumia kwa kufanyishwa kazi 😀 😀
Wanawake wao watu wa kushawishi mwanaume ukiwa na heshima zako wala huingii kwenye mtego,mfano mie nilikuwa na rafiki ana pesa mumewe akinipenda sana rafiki yangu mumewe muhindi,sometimes napenda kutembea kwake aniomba lala akiumwa anaomba nimuuguze hawakua na mtoto na wadada wa kazi walikuwa hawakai kumbe jamaa anawatongoza wanaona bora wasepe,basi nilivyokaa pale mumewe anitaka anivizia jikoni anishika makalio maana tako lipo kusema siwezi, akawa aninyima raha mpaka nikawa siendi kuna siku shoga yangu kaniita nikaenda jamaa si akamlewesha mkewe kwa pills akalala akanifata ooh nakupenda nitakupa pesa gari nyumba na ukaishi dubai ukikubali kuwa dem wangu aisee niliogopa natetemeka akatoa pesa nakumbuka dollar elfu 30 akazihesabu na kumwaga kitandani aniambia chukua hizi nikubalie nilikataa aisee nalia simu ikapigwa ndo ilikuwa salama yangu akatoka nika lock chumba basi ikawa mwisho wa ukaribu na shoga yangu akawa anashangaa siendi kwake na nikienda sio kama zamani jamaa akaendelea nisumbua sana namkataa kuna siku akaniambia unavyo nikataa ndo hamu ya kukutaka inazidi mie handsome na pesa wanawake wanitaka wenyewe kwanini wewe unikatae wakati hakuna mwanamke nimtake anikatae nilimwambia friendship is priceless I am loyal to your wife I can't betray her for the sake of the money akasema you will die poor nikasema potelea mbali ikapita na ndugu akapata matatizo akawekwa ndani alihusika akaniambia ukitaka ndugu yako aachiwe lala na mie na connection ya kumtoa cha kufanya nikitumie ticket ya ndege njoo nchi flani ulale na mie nikakataa na nikamwambia kaka yangu siwezi kukubali ombi lake omba Mungu atakusaidia utatotaka alikaa jela 2 years rufaa ikakubalika akaonekana hakuna ushahidi wowote akawa free basi jamaa nae alipata matatizo yakapelekea afilisike urafiki na mkewe upo na hajui mpaka leo tamaa za wanaume na nilikuwa pisi kali ikanifanya ni siwezi na marafiki wenyewe waume maana wanatongoza nami sipendi kuharibu urafiki Shem akileta za kuleta napunguza ukaribu japo wapo waloniponda mie mjinga nakataa hela Ila na amani moyoni ningekubali ningekuwa na feel guilty.Ila mashemeji wengine wana mitego sana, unamkuta shemu ni pini haswaaa, sura sura anamshepu kama wote halafu anaanza kukushobokea.
Shemu kila ukitizamana nae anakukonyeza huku analambalamba lips zake.