Equation x
JF-Expert Member
- Sep 3, 2017
- 41,626
- 65,099
- Thread starter
- #61
Haina shida, kwa nduguye ni kupasha tu; hakuna kuzaaLakini ushatengeneza generation nae huyo unaemwita mchepuko
Haina shida, kwa nduguye ni kupasha tu; hakuna kuzaaLakini ushatengeneza generation nae huyo unaemwita mchepuko
Kula tuHaina shida, kwa nduguye ni kupasha tu; hakuna kuzaa
Ushauri wako ni muhimu piaMaamuzi unayo mkuu
Kushiriki maamuz ya laana siweziUshauri wako ni muhimu pia
Kuna laana ipi na ninani alisema kuna kitu kinaitwa laana?Kushiriki maamuz ya laana siwezi
Na huwa una ladha nzuri sanaHuu ni uji wa ulez una maziwa mgando
Na hii mkuu ndio nataka nifanye hivyo, nikiwa mkoa fulani, nakuwa kama namualika aje aangalie fursa; huko huko mambo yanakaa sawa.Kamanda piga tu kispoti ufanye kama unapita tuuu..kama bahati mbaya
we mzee unazeeka vibaya sana 😃😃😂😂😂Na hii mkuu ndio nataka nifanye hivyo, nikiwa mkoa fulani, nakuwa kama namualika aje aangalie fursa; huko huko mambo yanakaa sawa.
Yaani ni bro kabisa huyu jamaa ila hata mimi tu namzidi kwa akili. Kichwani hakuna kitu.Punguza uzinzi, wanawake wapo kibao ya nini kufanya vitu vya kishenzi mje mshindwe kuangaliana usoni huko mbeleni
Akiwa ugenini, mida ya jioni namtoa 'out' kupiga vyupa; najua hapo achomoi kitu, kuja kushtuka, Eqnx yupo katikati ya legs 😀 😀we mzee unazeeka vibaya sana 😃😃😂😂😂
Mara ya mwisho kukutana na mfanano huu ilikuwa lini..Yaani ni bro kabisa huyu jamaa ila hata mimi tu namzidi kwa akili. Kichwani hakuna kitu.
aisee 😃😃Akiwa ugenini, mida ya jioni namtoa 'out' kupiga vyupa; najua hapo achomoi kitu, kuja kushtuka, Eqnx yupo katikati ya legs 😀 😀
Brother ni hivi karibuni tu. Hapo nothing more other than tako. Tena tako lenyewe ni fake... hayo mbona yamejaa sana Buza na Uwanja wa FisiMara ya mwisho kukutana na mfanano huu ilikuwa lini..
View attachment 2647147
Leta ushauri🤦♀️