Mtu na dada yake wamejaliwa uzuri

Mtu na dada yake wamejaliwa uzuri

Mnavyojua tena wakuu, mimi huwa napenda vitu vizuri vizuri vyenye mng'ao mng'ao, na vinavyotamanisha kuliwa.

Kuna kipindi nilikuwa kwenye mahusiano, na mlimbwende mmoja na tulidumu kwenye mahusiano kwa muda wa miaka mitatu hivi; katika uhusiano wetu tulifanikiwa kupata mtoto, na kwa sasa naendelea kuhudumia katika matunzo.

Kwa bahati nzuri huyu mrembo, ana dada yake ambaye naye pia ni kifaa kweli kweli. Nikiwa kwenye mahusiano na mdogo wake, kuna muda tulikuwa tunatoka naye 'out' yeye, mdogo wake pamoja na mimi.

Imepita zaidi ya miezi sita bila kuwa na mawasiliano na huyu dada mtu; sasa leo mtoto wangu alipelekwa na mama yake aende kwa mama yake mkubwa ili acheze na mtoto wa hapo, kwa sababu sasa hivi shule zimefungwa.

Mimi sijui hili wala lile, leo nikapigiwa simu na namba ambayo siijui;baada ya kupokea, nasikia sauti ya mwanamke, nami nikawa namjibu tu kama namfahamu; ndipo akaniuliza unajua unaongea na nani, nikamjibu naomba unikumbushe; ndipo aliponiambia mimi ni fulani, nimemuona mtoto wako hapa nikakukumbuka.

Tuliongea naye kama dakika 25 hivi; kutokana na sauti yake nikivuta picha na umbo lake, akili ikaniambia nitafute siku angalau nichakate hii kitu.

Sasa wakuu, hapa nawaza; nikiichakata hii kitu haiwezi kunipa shida kwa malezi ya mtoto wangu?, Hasa pale akiwa mkubwa, na kujua nilitoka na mama yake mkubwa?
Jiandae na mtoto mwingine
 
Njoo tujadili namna ya kufungua kiwanda cha kutengeneza vifaru na ndege za kivita; tukiwauzia huko nje tutapata fedha nyingi za kigeni, na uchumi utapaa sana.
Kwakwer nipe location maana sio kwa kuwaza huu upuuzi uliouleta Wana JF nawao hili et wamelipitisha kuwazishwa ngono huu utaratibu wa kigeni inabidi uzuiwe tu😆
 
😀 😀 😀 nimekupa wazo la kujenga kiwanda, naona umelikimbia
Hilo wazo uliloleta unavitendea kazi gani ikiwa unaambiwa nchi tajiri alafu tuko maskini wakaribu na mwisho malizote huko ugenini ujuzi wenyew tumebaki kupiga rafurafu ili utusogeze mbele😆
 
Inabidi tuwaze vikoba sasa; mpaka sasa una akiba kiasi gani? 😀 😀
 
Mnavyojua tena wakuu, mimi huwa napenda vitu vizuri vizuri vyenye mng'ao mng'ao, na vinavyotamanisha kuliwa.

Kuna kipindi nilikuwa kwenye mahusiano, na mlimbwende mmoja na tulidumu kwenye mahusiano kwa muda wa miaka mitatu hivi; katika uhusiano wetu tulifanikiwa kupata mtoto, na kwa sasa naendelea kuhudumia katika matunzo.

Kwa bahati nzuri huyu mrembo, ana dada yake ambaye naye pia ni kifaa kweli kweli. Nikiwa kwenye mahusiano na mdogo wake, kuna muda tulikuwa tunatoka naye 'out' yeye, mdogo wake pamoja na mimi.

Imepita zaidi ya miezi sita bila kuwa na mawasiliano na huyu dada mtu; sasa leo mtoto wangu alipelekwa na mama yake aende kwa mama yake mkubwa ili acheze na mtoto wa hapo, kwa sababu sasa hivi shule zimefungwa.

Mimi sijui hili wala lile, leo nikapigiwa simu na namba ambayo siijui;baada ya kupokea, nasikia sauti ya mwanamke, nami nikawa namjibu tu kama namfahamu; ndipo akaniuliza unajua unaongea na nani, nikamjibu naomba unikumbushe; ndipo aliponiambia mimi ni fulani, nimemuona mtoto wako hapa nikakukumbuka.

Tuliongea naye kama dakika 25 hivi; kutokana na sauti yake nikivuta picha na umbo lake, akili ikaniambia nitafute siku angalau nichakate hii kitu.

Sasa wakuu, hapa nawaza; nikiichakata hii kitu haiwezi kunipa shida kwa malezi ya mtoto wangu?, Hasa pale akiwa mkubwa, na kujua nilitoka na mama yake mkubwa?
Punguza uzinzi, wanawake wapo kibao ya nini kufanya vitu vya kishenzi mje mshindwe kuangaliana usoni huko mbeleni
 
Kwa sababu nina mke haina shida, huku nje ni kupumzika tu; muhimu mtoto apate mahitaji ya msingi; kuhusu wazazi wake hakuna permanent relationship.
 
Back
Top Bottom