Equation x
JF-Expert Member
- Sep 3, 2017
- 41,626
- 65,099
- Thread starter
- #41
Hawawezi kugombana kwa sababu hakutakuwa na uhusiano wakudumuumemla mama yake inatosha bhana,,, halafu usije ukasababisha ndugu wagombane😌
Hawawezi kugombana kwa sababu hakutakuwa na uhusiano wakudumuumemla mama yake inatosha bhana,,, halafu usije ukasababisha ndugu wagombane😌
RFA Wana kipindi kinaitwa USHAURI WAKO nadhani Kila Jumapili kama sikosei.....Toa ushauri wa kibaharia
Mkuu, na wewe unataka mkono wako wakulia upate shida? 😀kabisa naunga mkono hoja
aya nenda kamleHawawezi kugombana kwa sababu hakutakuwa na uhusiano wakudumu
Nipe faida na hasara zakeSasa ww unachokitafuta utakipata maana umeweka dhamiri kabisa we kula tu😂
sijichukulii sheria mikononi man, micheps wapo wengi sanaMkuu, na wewe unataka mkono wako wakulia upate shida? 😀
😀 😀 nitakifuatiliaRFA Wana kipindi kinaitwa USHAURI WAKO nadhani Kila Jumapili kama sikosei.....
Wanasaidia sanasijichukulii sheria mikononi man, micheps wapo wengi sana
aya bhana😃😃Huo ndio ushauri wakibaharia sasa 😀😀
SASA JE, LABDA VIJANA WA HOVYO NDIO WAFANYE HIVYOWanasaidia sana
Wanakusikia huko, ngoja waje wakuponde maweSASA JE, LABDA VIJANA WA HOVYO NDIO WAFANYE HIVYO
waje tuWanakusikia huko, ngoja waje wakuponde mawe
Hakuna kitu unachoweza kukifanya kwa faida kisiwe na madhara ww endelea kutumia ayo mayai tu Kisha uibukie kwenye mama mwenye mayai yake uliokwisha kula tyrNipe faida na hasara zake
Sina ndoa na huyo mdogo wake, ni mchepuko tuAfrican men are always horny, sisi tutakushauri kadri ya uwezo wetu ila wewe ndo mwenyewe maamuzi.
From the little experience I have, Mara nyingi wanaume wanaotembeaga na wadogo za wake zao ndoa zao huwa zinavunjika.Fikiria Sana kuhusu Hili mkuu.
Lakini ushatengeneza generation nae huyo unaemwita mchepukoSina ndoa na huyo mdogo wake, ni mchepuko tu
Nitaishia hapo hapo tuHakuna kitu unachoweza kukifanya kwa faida kisiwe na madhara ww endelea kutumia ayo mayai tu Kisha uibukie kwenye mama mwenye mayai yake uliokwisha kula tyr
Mtaka vyote kwa pupa hukosa vyote vipusaMnavyojua tena wakuu, mimi huwa napenda vitu vizuri vizuri vyenye mng'ao mng'ao, na vinavyotamanisha kuliwa.
Kuna kipindi nilikuwa kwenye mahusiano, na mlimbwende mmoja na tulidumu kwenye mahusiano kwa muda wa miaka mitatu hivi; katika uhusiano wetu tulifanikiwa kupata mtoto, na kwa sasa naendelea kuhudumia katika matunzo.
Kwa bahati nzuri huyu mrembo, ana dada yake ambaye naye pia ni kifaa kweli kweli. Nikiwa kwenye mahusiano na mdogo wake, kuna muda tulikuwa tunatoka naye 'out' yeye, mdogo wake pamoja na mimi.
Imepita zaidi ya miezi sita bila kuwa na mawasiliano na huyu dada mtu; sasa leo mtoto wangu alipelekwa na mama yake aende kwa mama yake mkubwa ili acheze na mtoto wa hapo, kwa sababu sasa hivi shule zimefungwa.
Mimi sijui hili wala lile, leo nikapigiwa simu na namba ambayo siijui;baada ya kupokea, nasikia sauti ya mwanamke, nami nikawa namjibu tu kama namfahamu; ndipo akaniuliza unajua unaongea na nani, nikamjibu naomba unikumbushe; ndipo aliponiambia mimi ni fulani, nimemuona mtoto wako hapa nikakukumbuka.
Tuliongea naye kama dakika 25 hivi; kutokana na sauti yake nikivuta picha na umbo lake, akili ikaniambia nitafute siku angalau nichakate hii kitu.
Sasa wakuu, hapa nawaza; nikiichakata hii kitu haiwezi kunipa shida kwa malezi ya mtoto wangu?, Hasa pale akiwa mkubwa, na kujua nilitoka na mama yake mkubwa?